KWA KWELI MIMI NIMEJISIKIA VIBAYA SANA KUWAPONDA WALIMU HIVI NYINYI BILA WALIMU LEO HII MNGEKUWA TOWN MNACHATT FACEBOOK,JF NA TWEETER???? HEBU FIKIRIENI KAMA WALIMU WATAENDELEA KUWA KATIKA MAZINGIRA DUNI JE HAO WADOGO ZETU WATAKUWA NA MUSTAKABARI GANI? ITS TIME FOR THEM TO SELECT PLACE OF WORK HAVING SOCIAL SERVICES LIKE ELECTRICITY, WATER, AND OTHER ESSENTIAL NEEDS
ACHENI KUWA KAMA WATU WASIO NA ELIMU, HAO MADAKTARI WAMETOKANA NA WALIMU LAKINI AT LEAST SIKU HIZI KILA ZAHANATI INA NYUMBA YA MGAGA WA KITUO JE KILA SHULE INA NYUMBA YA MWALIMU MKUU? mambo hayo inabidi yatazamwe kwa umakini na sio kuongea ongea u bila kutafakari. Serikali yetu imejaa wizi, na kukumbatia mafisadi huku Taasisi muhimu zikibaki kulalama bila mafanikio yoyote.
Tumpiganie huyu mwalimu mana ndio mkombozi wa maradhi yote kama vile ujinga na umaskini ..., ewe kijana wa Kitanzania pigania haki za mwalimu bila kujali una fani gani.