Walimu acheni ujinga hebu nendeni sehemu mlizopangiwa.

Walimu acheni ujinga hebu nendeni sehemu mlizopangiwa.

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,129
Nyie walimu mna nini? Kila siku mlikuwa mkililia hizo post...mmezipata mnaanza tena kuleta makuu...mara kule bush sana siendi, bora nibaki skan....wengine wamekazana na kubadilishana..kafanyeni kazi nyie tena mtue chini mzgo wa ujinga.
 
Haya mkuu hayakuhusu wewe endelea na business zako,labda ungesema ww unaathirika na nn na hayo wayafanyayo walimu? Hebu sema usikike
 
Haya mkuu hayakuhusu wewe endelea na business zako,labda ungesema ww unaathirika na nn na hayo wayafanyayo walimu? Hebu sema usikike

yana mhusu sana walimu wamesoma kwa mkopo ambao ni kodi za watanzania wote kwanini wakatae kuwatumikia?isitoshe bodi inataka kurejesha mkopo mapema na wengine wasome.na mwisho kila mtu ana haki ya kulipa kodi.usipo fanya kazi unawaacha wafanyakazi wabaki na mzigo mkubwa wa kukatwa kodi.
 
:crutch:they are not serious!!!!!!!!!!!!!, they have to report to their duty station immedeately
 
Lakini, hata tarehe za kuripoti kwa waajiri bado jamanieeeeeeeeeee!
 
kujishaua kwa lipi.ebu fikiri mtu anatoka Ngala au BK(v) anapelekwa Ruvuma na pengine hali ya family yake ni duni sana kwa nini asiombe kubadilishana ili awe karibu na kwao

sasa hali duni na kuwa karibu na kwao kunahusiana nini?
 
Haya mkuu hayakuhusu wewe endelea na business zako,labda ungesema ww unaathirika na nn na hayo wayafanyayo walimu? Hebu sema usikike

wakafundishe watoto huko, kwani hawakujua kama wanaweza kupangiwa popote?
 
Lakini tusiwalaumu tu walimu, je serikali imezingatia chaguo la mwalimu sehemu iliyompangia? kwasababu mwalimu huyu alipewa fomu ya kujaza mikoa mitatu ya kufanyia kazi, hivyo basi mwalimu huyu akipangiwa sehem aliyoomba hawezi kuomba kubadili tena. kama serikali haizingatii mapendekezo basi isiwape form za kuchaguamikoa ya kufanyia kazi na iwaeleze wazi kuwa wategemee kupangiwa popote inchini. alimradi kunawaohitaji huduma yao.
 
wakafundishe watoto huko, kwani hawakujua kama wanaweza kupangiwa popote?

mbona watu mnajifanaya mnajua kongea pumba,,, hivi mnajua hio serikali yenu mnayojishaua nayo inatoa hela ya usafiri na kujikimu baada ya mda gani?.... Na mshahara wa kwanza unapatikana baada ya muda gani?... Nani aende akaishi mahali ambapo maji yanafuatwa masaa 6,,, kufata mshahara siku nzima?..... Wote mnaojifanya mnajua kuongea mpo mijini huko vijijini kwenu mnaenda mara moja kwa mwaka... Uduni wa sehemu haujaletwa na waalimu ni ujinga wa serikali yenu.... Kwa hiyo usilazimishe waalimu kwenda kuishi mahali duni hawakusoma kuja kuwa watumwa nao wanahitaji maendeleo ambayo mnayafuata mijini
.
 
Watu wengine wanalaumu na kutukana walimu tuy bila kujua lolote.
 
yana mhusu sana walimu wamesoma kwa mkopo ambao ni kodi za watanzania wote kwanini wakatae kuwatumikia?isitoshe bodi inataka kurejesha mkopo mapema na wengine wasome.na mwisho kila mtu ana haki ya kulipa kodi.usipo fanya kazi unawaacha wafanyakazi wabaki na mzigo mkubwa wa kukatwa kodi.

Ni haki yako kusema hayo wala ckulazimishi,hivi imagine kuna eneo huko Newala unaambiwa ndoo ya maji ni sh 500 je mshahara wa mwl huyu unaujua ww? Kwann usiwe wa kwanza kuiambia serikali isiboreshe miundombinu ya walimu? Tafakari............
 
wakafundishe watoto huko, kwani hawakujua kama wanaweza kupangiwa popote?

Usitumie nguvu nyingi kuongea vitu bila kufanya tafiti ndugu yangu,hivi unayajua unayoyaongea? Kwamba kwamba hawakujua kua wanaenda huko,kwa hyo kwako waende tu hata kama hakuna mahitaji? Kuweni na huruma na walimu hawa ni waTanzania wenzenu
 
Tindikalikali we ndo unaujinga. mtu yeyote ana haki ya kuongea na uhuru wa kufanya kazi pia. Walimu wangu wachague mazingira mazuri ya kazi maana sekta yao ndo imesahaulika mshahara wa mwenye degree anazidiwa na nurse mwenye diploma wapi na wapi Hebu walimu chagueni pa kwenda bwana ili nanyi mjikomboe kimaisha.ALA!!
 
KWA KWELI MIMI NIMEJISIKIA VIBAYA SANA KUWAPONDA WALIMU HIVI NYINYI BILA WALIMU LEO HII MNGEKUWA TOWN MNACHATT FACEBOOK,JF NA TWEETER???? HEBU FIKIRIENI KAMA WALIMU WATAENDELEA KUWA KATIKA MAZINGIRA DUNI JE HAO WADOGO ZETU WATAKUWA NA MUSTAKABARI GANI? ITS TIME FOR THEM TO SELECT PLACE OF WORK HAVING SOCIAL SERVICES LIKE ELECTRICITY, WATER, AND OTHER ESSENTIAL NEEDS

ACHENI KUWA KAMA WATU WASIO NA ELIMU, HAO MADAKTARI WAMETOKANA NA WALIMU LAKINI AT LEAST SIKU HIZI KILA ZAHANATI INA NYUMBA YA MGAGA WA KITUO JE KILA SHULE INA NYUMBA YA MWALIMU MKUU? mambo hayo inabidi yatazamwe kwa umakini na sio kuongea ongea u bila kutafakari. Serikali yetu imejaa wizi, na kukumbatia mafisadi huku Taasisi muhimu zikibaki kulalama bila mafanikio yoyote.

Tumpiganie huyu mwalimu mana ndio mkombozi wa maradhi yote kama vile ujinga na umaskini ..., ewe kijana wa Kitanzania pigania haki za mwalimu bila kujali una fani gani.
 
walimu ni watu wenye akili sana, tena kuliko hawa wajinga wajinga waliogoma!! pamoja na kwamba wengi wanalalamika na wengine kutokwenda wengi wanatafuta altenative kubadilishana na wenzao wanaoona hakufai hawaendi,

pamoja na kwamba wanapata fedha duni lakini wao wanafanya kazi kwa moyo na kujitolea sana

thanx much teachers we love you all!!

ila nyie ma dr mnanikera sana tena
 
Asanteni wakuu,bora nyie mmeliona hili maana kuna watu wa ajabu sana wanachukulia kazi ya ualimu kama ya kujitolea hivi kumbe watu tumeenda shule,cha msingi tindikali na wenzie wawe wa kwanza kuiambia serikali iboreshe mazingira mazuri ya kazi sio kulaumu walimu kipumbavu hivyo
 
KWA KWELI MIMI NIMEJISIKIA VIBAYA SANA KUWAPONDA WALIMU HIVI NYINYI BILA WALIMU LEO HII MNGEKUWA TOWN MNACHATT FACEBOOK,JF NA TWEETER???? HEBU FIKIRIENI KAMA WALIMU WATAENDELEA KUWA KATIKA MAZINGIRA DUNI JE HAO WADOGO ZETU WATAKUWA NA MUSTAKABARI GANI? ITS TIME FOR THEM TO SELECT PLACE OF WORK HAVING SOCIAL SERVICES LIKE ELECTRICITY, WATER, AND OTHER ESSENTIAL NEEDS

ACHENI KUWA KAMA WATU WASIO NA ELIMU, HAO MADAKTARI WAMETOKANA NA WALIMU LAKINI AT LEAST SIKU HIZI KILA ZAHANATI INA NYUMBA YA MGAGA WA KITUO JE KILA SHULE INA NYUMBA YA MWALIMU MKUU? mambo hayo inabidi yatazamwe kwa umakini na sio kuongea ongea u bila kutafakari. Serikali yetu imejaa wizi, na kukumbatia mafisadi huku Taasisi muhimu zikibaki kulalama bila mafanikio yoyote.

Tumpiganie huyu mwalimu mana ndio mkombozi wa maradhi yote kama vile ujinga na umaskini ..., ewe kijana wa Kitanzania pigania haki za mwalimu bila kujali una fani gani.

Mkuu asante sana kwa kutambua umuhimu wetu na ndio sisi tunawafanya watu kama tindikali anang'ang'ana na keybord hapo ati huyu huyu anaponda walimu si ujinga huu? Pambafu
 
Nyie walimu mna nini? Kila siku mlikuwa mkililia hizo post...mmezipata mnaanza tena kuleta makuu...mara kule bush sana siendi, bora nibaki skan....wengine wamekazana na kubadilishana..kafanyeni kazi nyie tena mtue chini mzgo wa ujinga.

ucpende kuandika ili mradi uonekane, kama ujinga yafaa ww uitwe mjinga kwa kutoa mawazo finyu. teh..teh... teh.
 
Back
Top Bottom