tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
Haya mkuu hayakuhusu wewe endelea na business zako,labda ungesema ww unaathirika na nn na hayo wayafanyayo walimu? Hebu sema usikike
waambie mwaya,wamezidi kujishaua.
kujishaua kwa lipi.ebu fikiri mtu anatoka Ngala au BK(v) anapelekwa Ruvuma na pengine hali ya family yake ni duni sana kwa nini asiombe kubadilishana ili awe karibu na kwao
Haya mkuu hayakuhusu wewe endelea na business zako,labda ungesema ww unaathirika na nn na hayo wayafanyayo walimu? Hebu sema usikike
wakafundishe watoto huko, kwani hawakujua kama wanaweza kupangiwa popote?
yana mhusu sana walimu wamesoma kwa mkopo ambao ni kodi za watanzania wote kwanini wakatae kuwatumikia?isitoshe bodi inataka kurejesha mkopo mapema na wengine wasome.na mwisho kila mtu ana haki ya kulipa kodi.usipo fanya kazi unawaacha wafanyakazi wabaki na mzigo mkubwa wa kukatwa kodi.
wakafundishe watoto huko, kwani hawakujua kama wanaweza kupangiwa popote?
walimu ni watu wenye akili sana, tena kuliko hawa wajinga wajinga waliogoma!! pamoja na kwamba wengi wanalalamika na wengine kutokwenda wengi wanatafuta altenative kubadilishana na wenzao wanaoona hakufai hawaendi,
pamoja na kwamba wanapata fedha duni lakini wao wanafanya kazi kwa moyo na kujitolea sana
thanx much teachers we love you all!!
ila nyie ma dr mnanikera sana tena
KWA KWELI MIMI NIMEJISIKIA VIBAYA SANA KUWAPONDA WALIMU HIVI NYINYI BILA WALIMU LEO HII MNGEKUWA TOWN MNACHATT FACEBOOK,JF NA TWEETER???? HEBU FIKIRIENI KAMA WALIMU WATAENDELEA KUWA KATIKA MAZINGIRA DUNI JE HAO WADOGO ZETU WATAKUWA NA MUSTAKABARI GANI? ITS TIME FOR THEM TO SELECT PLACE OF WORK HAVING SOCIAL SERVICES LIKE ELECTRICITY, WATER, AND OTHER ESSENTIAL NEEDS
ACHENI KUWA KAMA WATU WASIO NA ELIMU, HAO MADAKTARI WAMETOKANA NA WALIMU LAKINI AT LEAST SIKU HIZI KILA ZAHANATI INA NYUMBA YA MGAGA WA KITUO JE KILA SHULE INA NYUMBA YA MWALIMU MKUU? mambo hayo inabidi yatazamwe kwa umakini na sio kuongea ongea u bila kutafakari. Serikali yetu imejaa wizi, na kukumbatia mafisadi huku Taasisi muhimu zikibaki kulalama bila mafanikio yoyote.
Tumpiganie huyu mwalimu mana ndio mkombozi wa maradhi yote kama vile ujinga na umaskini ..., ewe kijana wa Kitanzania pigania haki za mwalimu bila kujali una fani gani.
Nyie walimu mna nini? Kila siku mlikuwa mkililia hizo post...mmezipata mnaanza tena kuleta makuu...mara kule bush sana siendi, bora nibaki skan....wengine wamekazana na kubadilishana..kafanyeni kazi nyie tena mtue chini mzgo wa ujinga.