Kila siku nasema na sitaacha kusema toka nipo mdogo hadi nakua mtu mzima wizara ya kisenge kupata kutokea kama wizara ya elimu, decision zao nyingi ni za kipumbavu huwezi amini kama zinatolewa na mwishoni wahanga wa maamuzi hayo wanakuwa wengi
*mtu unampa fomu ajaze anapotaka kwenda fanya kazi halafu alikochagua mnapapotezea mnamchagulia nyingi na kuna uozo mwingine kibao tena as if wako smart katika kazi once walimu wakisharipoti ndo inakula kwako na usumbufu juu katika
1.kupata subsistence allowance hd utakaposettle
2.kuingizwa katika payroll upate mshahara coz kama haupo ktk payroll imekula kwako
3.bado hapo hawajakuambia mshahara wako wamekosea unaingia wilaya nyingine mfano unafundisha shule iko wilaya ya ilala ila mshahara unaambiwa unatokea wilaya ya kinondoni yani kero,kero,kero nawatakia mema kwa mtakaoripoti na wale mtakaogoma kwenda kuripoti ili muone picha halisi ya namna nchi hii INAVYOENDESHWA na si KUONGOZWA,gud luck