Walimu ajira mpya 2026 wilaya ya Kwimba Mwanza tumelipwa ela ya kujikimu tsh 360,000/= tu

hemombi

New Member
Joined
Sep 1, 2026
Posts
2
Reaction score
0
Habari ndugu wanajamii

Sisi walimu wa ajira mpya wilaya ya Kwimba-Mwanza tarehe 31/08/2026 tumelipwa kwenye account zetu shillingi laki tatu na elfu sitini tu (Tsh.360,000/=) kama hela yetu ya kujikimu na tulistahili kulipwa zaidi ya Laki tisa.

Tunaomba mamlaka husika ngazi za juu zitusaidie kufuatilia uonevu huu ili tupate fedha zetu zote kwani kwa wilaya za mikoa mingine walimu wenzetu wamelipwa fadha zao zote.

Imetuvunja moyo mno na kupunguza hari yetu ya kazi.

Ahsanteni
 
Tunaomba mamlaka husika ngazi za juu zitusaidie kufuatilia uonevu huu.
Ahsanteni
 
Inatosha sana hiyo sisi wauza bamia soko la ilala kila siku tunalipa ushuru mia tano,bado nauli ya kwenda kazini na kurudi nyumbani,pesa ya kula mchana na Kodi ya meza.
Bado mahitaji ya shule kwa watoto.
Faida kwa siku ni elfu 4 au 5.
 
Habari ndugu wanajamii

Sisi walimu wa ajira mpya wilaya ya Kwimba-Mwanza tarehe 31/08/2026 tumelipwa kwenye account zetu shillingi laki tatu na elfu sitini tu (Tsh.360,000/=) kama hela yetu ya kujikimu na tulistahili kulipwa zaidi ya Laki tisa.

Tunaomba mamlaka husika ngazi za juu zitusaidie kufuatilia uonevu huu ili tupate fedha zetu zote kwani kwa wilaya za mikoa mingine walimu wenzetu wamelipwa fadha zao zote.

Imetuvunja moyo mno na kupunguza hari yetu ya kazi.

Ahsanteni
Sisi tuwasaidie nini. Mngepewa elfu 10000 akili zikae vizuri
 
Mimi sitakagi ujinga, ni value for money kama mchina. Ukinipa 360k nakupa product ya thamani ya 50k ili kampuni isifirisike.

Hiyo uliyonipunja naendelea kukudai hadi kieleweke.
 
Habari ndugu wanajamii

Sisi walimu wa ajira mpya wilaya ya Kwimba-Mwanza tarehe 31/08/2026 tumelipwa kwenye account zetu shillingi laki tatu na elfu sitini tu (Tsh.360,000/=) kama hela yetu ya kujikimu na tulistahili kulipwa zaidi ya Laki tisa.

Tunaomba mamlaka husika ngazi za juu zitusaidie kufuatilia uonevu huu ili tupate fedha zetu zote kwani kwa wilaya za mikoa mingine walimu wenzetu wamelipwa fadha zao zote.

Imetuvunja moyo mno na kupunguza hari yetu ya kazi.

Ahsanteni
Peleka madai yako sehemu husika
 
Wewe hujui sehemu husika za kumpeleka madai yako?. Achaa wogaa Umemweleza mwajiri (DED)?.
 
Back
Top Bottom