Hashim1234
New Member
- Apr 19, 2025
- 1
- 0
Habari za muda huu, JF.
Mimi ni mwalimu wa ajira mpya na ninawakilisha walimu wenzangu wa ajira mpya katika Halmashauri ya Bariadi Vijijini. Tunaomba msaada wako katika kufikisha kero yetu kuhusu kutolipwa fedha zetu za kujikimu tangu tulipoajiriwa mwaka 2025.
Tumejaribu kufuatilia suala hili kwa viongozi husika, lakini hadi sasa hatujapata majibu ya kueleweka kuhusu lini tutalipwa stahiki zetu.
Tunaomba mtusaidie kupaza sauti yetu ili mamlaka husika zichukue hatua na kuhakikisha tunalipwa fedha zetu za kujikimu, kwani ni haki yetu kama watumishi.