AbuuHafswa Munsheedu
New Member
- May 21, 2026
- 1
- 1
Leo nimeona taarifa baadhi ya Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba wakidai kuwa wamepata fedha zao za kujikimu. Swali langu ni kwamba mbona sisi Walimu ajira Mpya bado hatujalipwa Pesa zetu? Au Kuna janja janja inaendelea. Hao waliolipwa sio Walimu labda ni kada nyingine. Tunaomba tulipwe fedha zetu kwani ni haki yetu. Ahsant