KERO Walimu ajira mpya halmashauri ya Wilaya ya Kwimba hatujapata fedha za kujikimu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Joined
May 21, 2026
Posts
1
Reaction score
1
Leo nimeona taarifa baadhi ya Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba wakidai kuwa wamepata fedha zao za kujikimu. Swali langu ni kwamba mbona sisi Walimu ajira Mpya bado hatujalipwa Pesa zetu? Au Kuna janja janja inaendelea. Hao waliolipwa sio Walimu labda ni kada nyingine. Tunaomba tulipwe fedha zetu kwani ni haki yetu. Ahsant
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…