Walimu ajira mpya mpaka leo hamna mshahara

Walimu ajira mpya mpaka leo hamna mshahara

Joined
Feb 25, 2015
Posts
14
Reaction score
1
Hivi jamani nikimbilie wapi nikapate msaada ili nipate mshahara kama wenzangu? Halmashauri nimeenda sana wanasema si kosa lao idara kuu ya utumishi ndio wanaosababisha nisipate mshahara mpaka leo. Kama kuna mtu anapafamu idara kuu ya utumishi anijulishe ili niende kufatilia mwenyewe maana maisha yanazidi kuwa magumu.
 
We mwalimu gan karne hii ya dijital?unakuja kulalamika huku. Mfuate muajiri wako ambaye ni mkurugenz akakupe mshahara wako wa miez uliyofanya kaz.
 
We mwalimu gan karne hii ya dijital?unakuja kulalamika huku. Mfuate muajiri wako ambaye ni mkurugenz akakupe mshahara wako wa miez uliyofanya kaz.

Usimshangae,anahitaji msaada ndo maana kauliza.
Ok aende kwa Afisa utumishi,wakileta zao,aende kwa Mkurugenzi.
 
Mshahara wa nn unataka? Ulifanya kazi vizuri? Wewe ni mtoro ndio maana hujafanyiwa mchakato wa kulipwa...
 
Back
Top Bottom