Ms information
Member
- Feb 25, 2015
- 14
- 1
Hivi jamani nikimbilie wapi nikapate msaada ili nipate mshahara kama wenzangu? Halmashauri nimeenda sana wanasema si kosa lao idara kuu ya utumishi ndio wanaosababisha nisipate mshahara mpaka leo. Kama kuna mtu anapafamu idara kuu ya utumishi anijulishe ili niende kufatilia mwenyewe maana maisha yanazidi kuwa magumu.