Walimu ambao hawajapangiwa vituo vya kazi

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Kwa mujibu wa walimu wa shahada hapa chuo kikuu kwa ambao hawajapangiwa ni wale walosoma Bed,yani somo moja la kufundishia,na hawa walimu wanaexpirience ya kufundisha vyuo vya ualimu,je unafahamu sababu ya hawa walimu kutokupangiwa vituo,oooh wanaosoma Bed
 
Wakati napitia hayo majina nikaona wengine waliyopangiwa kufundisha vyuo vya uwalimu ni BAED na BASc. Sasa nikajiuliza kwanini hao BED waachwe?
 
Kaz ipo ila siamin kama 2me ok wamepotezewa kabsa nackia mkipresurize mtapewa kama Bed sped udom na Bed sn sekucko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…