BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 5,950
- 11,295
Kwa mujibu wa walimu wa shahada hapa chuo kikuu kwa ambao hawajapangiwa ni wale walosoma Bed,yani somo moja la kufundishia,na hawa walimu wanaexpirience ya kufundisha vyuo vya ualimu,je unafahamu sababu ya hawa walimu kutokupangiwa vituo,oooh wanaosoma Bed