Walimu bado sijapata majibu ya swali langu, huwa mnafeli wapi?

Walimu bado sijapata majibu ya swali langu, huwa mnafeli wapi?

Enzi na Enzi

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2020
Posts
888
Reaction score
822
Nimekuwa nikihoji swali hili kwa waalimu lakini naambulia matusi au kuambiwa nawadharau waalimu kitu ambacho siyo kweli.

Nimekuwa nikihoji nikwanini waalimu ndio wanao ongozwa kutapeliwa au kupigwa katika mikopo umiza lakini nimekuwa nikihoji sababu ya kushuka kwa heshima yao katika jamii.

Leo nimekuja na swali lile lile la waalimu huwa mnaferi wapi? Sababu ya kuendelea kuhoji ni kwa yaliyo tokea kule wilayani CHATO Buselesele, pale mwlalimu napotoa adhabu ya kikatili, tena ya kishetani kwa mtoto wa mzazi mwenzake, adhabu ambayo anastahili kupewa mnyama tena asiye na faida kwa binadamu, mwalimu anaanzaje kutoa adhabu za kikatili wakati adhabu zote zimeainishwa kisheria.

Lakini walimu niwaulize, unaanzaje kumpa adhabu ya kuchimba kifusi mwanafunzi? Kazi ambayo hata nyumbani kwao haifanyi?

Waalimu nahitaji majibu kutoka kwenu, mbona hamuishiwi na matukio? Sasa hivi limeshaisha hili japo bado litaendelea kuumiza wazazi na ndugu na jamaa siku zao zote za maisha pale wanapomkumbuka mtoto wao, lkn sio ajabu baada ya muda mfupi waalimu mtalizua tena.

Waalimu mnafeli wapi?

Maana hata the Don wa Chadema yule Mwl aliyeacha kazi pale mkolani s/m naamini hawezi kuyafanya haya yaliyofanywa na huyu mwalimu.

Nadhani kunahitajika kupima akili za mtu yoyote anaeomba kazi ya ualimu before.

Mtoto unampa adhabu ya kuchimba kifusi tena bila usimamizi!!! loh, nadhani hii siyo akili ya kawaida.

Waalimu mnafeli waapi? Huyo mwl mwenzenu kachafua tena hari ya hewa.
 
Back
Top Bottom