Matukio yenyewe sasa:-Walimu Dar kuanza kuvaa suti kwenye matukio
Loosers jobHii kazi ni laana kweli?
Nilijua Tu 😂, lazima wasaidiwe
INSANITY IS?Amesema baada ya kukabidhiwa kitambaa cha suti, kila mwalimu atapewa shilingi elfu 80 taslimu.
"Shilingi elfu 50 itakuwa kwa ajili ya kiatu na elfu 30 kwa ajili ya mashono," amesema Chalamila
Sawa tunajua ni Kwa ajili ya kuwadanganya walimu. Lakini kàma wangepewa kitambaa Tu 😂 bila pesa yà kushonea walimu wengi Sana wasingeweza kushona suti, .hasa wanaumeHakuna unachokijua,hiyo ni rushwa kwa walimu kwa ajili ya uchaguzi. Au kwakuwa katumika RC tena bila kificho ndicho kinakufanya upofuke ubongo?