Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Walimu hawana shida ya mwonekano, wanahitaji maslahi bora, ikumbukwe atakayefurahia mwonekano ni wewe RC na timu yakoMkuu wa mkoa huo, Albert Chalamila amesema wameandaa baadhi ya sare za walimu zitakazotumika katika mikutano mbalimbali.
Huu ni mdindifu kabisaUlanzi mkangafu Siyo mchezo π
Tumefikiwa πΉπΉπΉπΉπΉIla jamaniπ€£π€£π€£π€£
π€£π€£π€£π€£Tumefikiwa πΉπΉπΉπΉπΉ
Suti yangu ntaichanganya na satini ya kijani na njano
Badala ya T-shirt na Kapelo sasa ni suti ??Nilijua Tu π, lazima wasaidiwe
Kwahiyo unamkejeli Mwalimu Mpwayungu Village sio?Hivi walimu ndiyo wa kuwachezea chezea tu , Bora sikuwa mwalimu maana ningekataa ujinga huu
Hii serikali imebanwa na watu wasofaa kuongoza na wale wanofaa.Aibu sana
Absolutely πHii kazi ni laana kweli?