Pre GE2025 Walimu Dar kuanza kuvaa suti kwenye matukio

Pre GE2025 Walimu Dar kuanza kuvaa suti kwenye matukio

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Shinyanga,Mwalim Mayunga.
👇

images (14).jpeg
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Mkuu wa mkoa huo, Albert Chalamila amesema wameandaa baadhi ya sare za walimu zitakazotumika katika mikutano mbalimbali.
Walimu hawana shida ya mwonekano, wanahitaji maslahi bora, ikumbukwe atakayefurahia mwonekano ni wewe RC na timu yako
 
Sasa joto lote la dar kweli? Wawawezeshe na Vitz basi ili wapate kiyoyozi kuliko kupanda daladala na suti joto kali
 
Aise naona kama anawadhihaki tena waalimu!
Ni afadhari angeishauri Serikali angalau iwaongezee hiyo elfu 80 kwenye mishara yao kila mwezi kwa ajili ya kujikimu!
Kweli Ualimu ni Wito!
 
Walimu hawawezi kushona kasuti kamoja?? Kazi yaaibu hii Bora ukondakta wadaladala. Masuti yenyewe niyale makubwaaa selebureshen sitasita... hata mfagizi wa bank anawazidi muonekano😭😭
 
Aibu sana
Hii serikali imebanwa na watu wasofaa kuongoza na wale wanofaa.

Ni mfumo wa Kleptokrasia umefanya hivyo kuvunja kabisa uwezo wa baadhi ya waafrika wenzetu wenye dhamana ya kutuongoza kufikia kuongea mambo yaso na maana majukwaani.

Ni hawahawa baadhi ya viongozi wamewaharibu kifikra wananchi wanowaongoza.

Pathetic.
 
Back
Top Bottom