Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Mpwayungu Village alipo uko ana bubujikwa na machozi ya furaha ππππππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekosa nafasi ya kuvaa suti, anajutia sana πMpwayungu Village alipo uko ana bubujikwa na machozi ya furaha ππππππππ
Dharau sana kwa hii kada ya Ualimu yaani unahongwa suti ukistaafu unakutana na kikokotoo . Walimu saidieni nchi kumtoa mkoloni CCM.
Serikali ya Mkoa wa Dar es Salaam imeandaa mikakati kwa kila mwalimu wa shule ya sekondari kuvaa sare ya suti kwa ajili ya matukio mbalimbali.
Mkuu wa mkoa huo, Albert Chalamila amesema wameandaa baadhi ya sare za walimu zitakazotumika katika mikutano mbalimbali.
Amesema baada ya kukabidhiwa kitambaa cha suti, kila mwalimu atapewa shilingi elfu 80 taslimu.
"Shilingi elfu 50 itakuwa kwa ajili ya kiatu na elfu 30 kwa ajili ya mashono," amesema Chalamila
Hizi ndio Akili za kiuwendawazimu.

Inasaidia nini kwenye kiapto na maisha Yao? Nchi hii kila MTU ni mjinga, anawaza kinyumenyume, badala ya kuwawekea mifumo wakopeshwe Nyumba, au, kuwe na Nyumba za waalimu kama ilivyo kwa mawaziri, au, kiwango cha chini cha elimu kwa mwalimu wa msingi kiwe shahahda ya kwanza, kenge wa CCM wanafikiria kuvaa suti!suti huku una njaa, na unagombania daladala? Au, unatembea na biskeli
Serikali ya Mkoa wa Dar es Salaam imeandaa mikakati kwa kila mwalimu wa shule ya sekondari kuvaa sare ya suti kwa ajili ya matukio mbalimbali.
Mkuu wa mkoa huo, Albert Chalamila amesema wameandaa baadhi ya sare za walimu zitakazotumika katika mikutano mbalimbali.
Amesema baada ya kukabidhiwa kitambaa cha suti, kila mwalimu atapewa shilingi elfu 80 taslimu.
"Shilingi elfu 50 itakuwa kwa ajili ya kiatu na elfu 30 kwa ajili ya mashono," amesema Chalamila
Umemuharibu mnyalu mwenzakoUlanzi mkangafu Siyo mchezo π
Ualimu ni kundi linalochezewa kijinga jinga na wajinga kama Chalamila
Serikali ya Mkoa wa Dar es Salaam imeandaa mikakati kwa kila mwalimu wa shule ya sekondari kuvaa sare ya suti kwa ajili ya matukio mbalimbali.
Mkuu wa mkoa huo, Albert Chalamila amesema wameandaa baadhi ya sare za walimu zitakazotumika katika mikutano mbalimbali.
Amesema baada ya kukabidhiwa kitambaa cha suti, kila mwalimu atapewa shilingi elfu 80 taslimu.
"Shilingi elfu 50 itakuwa kwa ajili ya kiatu na elfu 30 kwa ajili ya mashono," amesema Chalamila
Watalipwa laki 2 2 na kuharibu maisha ya watanzaniaNi Wazi walimu ndio watakao simamia Uchaguzi