Walimu eti net pay ya tgts g ni ngapi baada ya makato yote ya lazima?

Walimu eti net pay ya tgts g ni ngapi baada ya makato yote ya lazima?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Walimu msaada kidogo hapa mwalimu anayepokea mshahara wa tgts g anaongezewa tsh ngapi toka daraja f ukitoa paye nhif cwt? Ile cash amount inayoingia kama hela kamili ni kiasi gani?
 
Najua mshahara wao ni 1630000/= ila hii inakatwa sana nataka kujua amount cash mkononi namdai hela yangu anasumbua sana kulipa
 
IMG-20230513-WA0015.jpg
 
Ukipanda daraja F to G
Ni 380,000 inaongeka

2,116,500-1,630,000 range 485,000

Baada ya makato makato
 
Najua mshahara wao ni 1630000/= ila hii inakatwa sana nataka kujua amount cash mkononi namdai hela yangu anasumbua sana kulipa
Duh, kumbe mna mishahara mikubwa mnalalamika nini?
 
Back
Top Bottom