DOKEZO Walimu halimashauri ya wilaya Kiteto hatujalipwa Pesa za kujikimu tangu Januari

DOKEZO Walimu halimashauri ya wilaya Kiteto hatujalipwa Pesa za kujikimu tangu Januari

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Choro Elliot

New Member
Joined
Jun 24, 2026
Posts
1
Reaction score
0
Nimeajiriwa Halimashauri ya wilaya Kiteto kuanzia mwezi wa kwanza lakini mpaka leo pesa za kujikimu kwa watumishi wapya upande wa ualimu hazijatolewa mazingira magumu naomba mtusaidie kupaza sauti maana Jamii Forums ndio umekuwa msaada wetu
 
Back
Top Bottom