C Choro Elliot New Member Joined Jun 24, 2026 Posts 1 Reaction score 0 Jul 25, 2026 #1 Nimeajiriwa Halimashauri ya wilaya Kiteto kuanzia mwezi wa kwanza lakini mpaka leo pesa za kujikimu kwa watumishi wapya upande wa ualimu hazijatolewa mazingira magumu naomba mtusaidie kupaza sauti maana Jamii Forums ndio umekuwa msaada wetu
Nimeajiriwa Halimashauri ya wilaya Kiteto kuanzia mwezi wa kwanza lakini mpaka leo pesa za kujikimu kwa watumishi wapya upande wa ualimu hazijatolewa mazingira magumu naomba mtusaidie kupaza sauti maana Jamii Forums ndio umekuwa msaada wetu