A
Anonymous
Guest
Mimi ni mdau, nipo Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, naomba kuwasilisha kero kuhusu malipo ya posho za kujikimu katika Idara ya Elimu.
Walimu wameripot kazini lakini hela za kujikimu inakuwa changamoto kupewa kwa muda, kuna walimu wanapewa nusu na wameahdiwa kupatiwa inayobaki..ila hakuna hatua zinazochukuliwa.
Na kuna wengine tumeripoti mwezi Januari mwaka huu hatujapewa na wengine machi hawajapewa hali inayopelekea kuishi mazingira magumu kwa sababu vituo vya kazi vingine ufikika ni changamoto.
Msaada katka hili maana viongozi ni kama hawajali, kila tukiuliza hatupati majibu mazuri.