Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja yako hapa ni nini hasa?
Walimu waliokuwa wamefukuzwa walikuwa hawapokei mishahara yao au?
Kama ndivyo unatuambiaje sasa? Wangapi hao walimu? Hiyo mishahara yao ilikuwa inaenda wapi?
Na kuongezea hapo swali mkuu,
Wamekubali vipi kwenda kuhakikiwa ilihali hawapokei mshhahara toka huo mwaka?? Wewe ungekubali kuhakikiwa uku hupokei mshahara?
Wahasibu wa wilaya walikuwa wanachukua wakishirikiana na maofisa wa utawala(Accoutants and human resource offcers) walikuwa wanachukua mishahara kwani pay points hujulikana.Hoja yako hapa ni nini hasa?
Walimu waliokuwa wamefukuzwa walikuwa hawapokei mishahara yao au?
Kama ndivyo unatuambiaje sasa? Wangapi hao walimu? Hiyo mishahara yao ilikuwa inaenda wapi?