Wee Burungutu la pesa, MUCE ni chuo cha Mkwawa, RUCO ni Ruaha University (Ya wakatoliki), NA Iringa University ni ile iliyokuwa TUMAINI UNIVERSITY zamani. Ni vyuo vitatu tofauti
Wee Mapovu, usiseme hivyo kabisa. Hiyo mambo ipo SAUT lakini tuseme haivumi sana, wanajitahidi kudhibiti mambo. Usiwasifie kwa asilimia 100. Kama hujui bora uulize
Katika Vyuo ambavyo siviamini hata siku moja, IRINGA UNIVERSITY (TUMAINI) ni namba moja. Si walimu na wala si wanachuo wote machokoraa, mambo yanaendeshwa utadhani chekechea