N NYANGESON Member Joined Dec 24, 2012 Posts 34 Reaction score 9 Dec 26, 2012 #1 Kutokana na tamko la wazir Mulugo,walimu watakaoajiliwa jan 2013 kwenda mikoa ya katavi,kigoma,lindi,mtwara,mbeya(v),simiyu na shinyanga,je ina maana mikoa mingine haitopata walimu? Na hiyo jan wanatoa mwanzoni,kati,au mwisho ili tusimalize nauli.
Kutokana na tamko la wazir Mulugo,walimu watakaoajiliwa jan 2013 kwenda mikoa ya katavi,kigoma,lindi,mtwara,mbeya(v),simiyu na shinyanga,je ina maana mikoa mingine haitopata walimu? Na hiyo jan wanatoa mwanzoni,kati,au mwisho ili tusimalize nauli.
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Dec 26, 2012 #2 Kumbe we ni mwalimu,asa mbona ulikua unaogopa kuhusu yule mdada uliyempa mimba?
K kolokoni Member Joined Jan 8, 2013 Posts 23 Reaction score 8 Jan 9, 2013 #3 Usijali hata sisi tuliopo kilage ni watu pia,njoo tuendelee kufelisha watoto
Y ylazaro Member Joined Dec 16, 2012 Posts 13 Reaction score 1 Jan 9, 2013 #4 Napenda niend kijijin ambako hakuna umeme,network za cm wala bar ili ma2miz yasiwe makubwa kulngan na kpato!
Napenda niend kijijin ambako hakuna umeme,network za cm wala bar ili ma2miz yasiwe makubwa kulngan na kpato!