Walimu jiandaen kwenda vijijini

Walimu jiandaen kwenda vijijini

NYANGESON

Member
Joined
Dec 24, 2012
Posts
34
Reaction score
9
Kutokana na tamko la wazir Mulugo,walimu watakaoajiliwa jan 2013 kwenda mikoa ya katavi,kigoma,lindi,mtwara,mbeya(v),simiyu na shinyanga,je ina maana mikoa mingine haitopata walimu? Na hiyo jan wanatoa mwanzoni,kati,au mwisho ili tusimalize nauli.
 
Kumbe we ni mwalimu,asa mbona ulikua unaogopa kuhusu yule mdada uliyempa mimba?
 
Usijali hata sisi tuliopo kilage ni watu pia,njoo tuendelee kufelisha watoto
 
Napenda niend kijijin ambako hakuna umeme,network za cm wala bar ili ma2miz yasiwe makubwa kulngan na kpato!
 
Back
Top Bottom