Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moja ya kitu muhimu sana ambacho nimekutana nacho leo. Shukran kiongozi.
Pdf mbona siioni mkuuyanafana na
Swali zuri sana
Swali lako linauliza kama walimu wote watakuwa na mtihani wa aina moja wa Aptitude Test, hata kama wanabobea katika masomo tofauti kama Kiswahili, Jiografia, au Fizikia.
Ili kuelewa vizuri, ni muhimu kutambua kwamba Aptitude Test ni mtihani unaolenga kupima uwezo wa jumla wa mwalimu katika nyanja mbalimbali zinazohitajika kwa ualimu, si kupima kama yupo competent kwenye somo tu walimu wana course zao za kua mwalimu na zinafanana kwa walimu wote isipo kua kwenye masomo la kufundishia tu, kujua masomo fulani bila kusoma course hizo automatically wewe sio mwalimu
➡️Kwanza kabisa, walimu wote, bila kujali somo wanalofundisha, wanapitia kozi za msingi zinazofanana wanapokuwa vyuoni. Kozi hizi za msingi ni pamoja na "Teaching Methodologies" (Mbinu za Kufundisha), "Assessment and Evaluation" (Tathmini na Uthibitishaji), na nyinginezo. Kwa hiyo, sehemu kubwa ya Aptitude Test italenga ujuzi na maarifa haya ya msingi ambayo ni ya kawaida kwa walimu wote. Vipengele kama uwezo wa kufikiri kimantiki, tathmini ya taaluma, na mbinu za kufundisha ni mambo ya msingi yanayofanana kwa walimu wa masomo yote.
➡️Pili, ingawa Aptitude Test itakuwa na sehemu za msingi zinazofanana kwa walimu wote, pia kutakuwa na sehemu maalum inayolenga ujuzi maalum wa somo. Hii ina maana kwamba walimu wa masomo tofauti, kama vile Hisabati, Kiswahili, au Fizikia, watakutana na maswali yanayohusiana na ujuzi maalum wa somo lao. Kwa mfano, walimu wa Hisabati watapimwa katika "numerical reasoning" (ufahamu wa hesabu), ilhali walimu wa Kiswahili watapimwa katika uandishi na ufahamu wa fasihi.
Mwisho, matangazo ya kazi kwa walimu wa masomo tofauti mara nyingi yanabainisha majukumu yanayofanana, kama vile "kuandaa mipango ya somo" na "kufanya tathmini ya wanafunzi." Hii inaonyesha kuwa kuna vipengele vya kawaida ambavyo vitapimwa kupitia Aptitude Test, pamoja na vipengele maalum vya somo.
Kwa hiyo, Aptitude Test inaweza kuundwa kwa sehemu mbili: (1) sehemu ya msingi inayofanana kwa walimu wote kuhusu mbinu za kufundisha na tathmini, na (2) sehemu maalum ya somo inayolenga ujuzi wa kufundisha wa mwalimu. Hii inahakikisha kwamba walimu wanapimwa kwa uwezo wao wa jumla na pia kwa uwezo wao maalum katika somo wanalofundisha.
Natumai nimekujibu.
Fungua iyo pdf chini kuona format mfano walimu wa biology
Kuna mwingine alikuwa busy kutafuta barua kwa mkuu wake wa shule inayoonyesha kuwa anajitolea kwamba wameambiwa watapewa kipaumbele.....Kila nikimuelewesha kuhusu mkando unaokuja ajiandae haelewiWalimu bado hawaamini kama wanafanya usaili. Baada ya kutoka kwenye chumba chenye joto la PSRS watakuja na mrejesho wa malalamiko. Jiandaeni walimu
Kuwa na amani, subir pdf kutoka utumishi, hiyo mikoa kuwepo au kutokuwepo isikuumize kichwaNilikuwa nimeandikiwa Emproyer mkoa fulani mpaka juzi, Leo natazama pamebadirika MDA & LGAs
Hapo vipi ndo kutemwa !!!
Juzi kati hapa kuna waalimu humu walitaka tukutane ili wanipige ety kisa naunga mkono usaili 😂Walimu bado hawaamini kama wanafanya usaili. Baada ya kutoka kwenye chumba chenye joto la PSRS watakuja na mrejesho wa malalamiko. Jiandaeni walimu
Huyu ndio baadaye anaapa kuwaachia laana PSRS. Bado una nafasi ya kumshauri asome ajiandae aachane na barua ya kujitolea haitomsaidia. Labda kufutia machozi baada ya kukandwaKuna mwingine alikuwa busy kutafuta barua kwa mkuu wake wa shule inayoonyesha kuwa anajitolea kwamba wameambiwa watapewa kipaumbele.....Kila nikimuelewesha kuhusu mkando unaokuja ajiandae haelewi
Bado tunapitia maombi yako, jifunze kuwa mtulivu. Sawa ?Nilikuwa nimeandikiwa Emproyer mkoa fulani mpaka juzi, Leo natazama pamebadirika MDA & LGAs
Hapo vipi ndo kutemwa !!!
😂😂😂😂😂😂😂hahahahahaHuyu ndio baadaye anaapa kuwaachia laana PSRS. Bado una nafasi ya kumshauri asome ajiandae aachane na barua ya kujitolea haitomsaidia. Labda kufutia machozi baada ya kukandwa