Tangu j. tatu walimu jijini hapa wanakaguliwa vyeti.niwaulizeni wana jf hili zoezi na kwenu lipo?wanakagua yafuatayo:cheti cha fm 4,ualimu,leaving certificates na result slips.sababu wanataka kubaini vyeti feki.:yawn:

Wangeanza na Mawaziri na wabunge pia katika mashirika ya umma ambayo huliingizia Taifa hasara kila mwaka sababu ya vihiyo waliopo huko.Sijaona ukaguzi huu wa walimu Dar.