Walimu jiji la mwanza wakaguliwa vyeti

Walimu jiji la mwanza wakaguliwa vyeti

mama visa

Member
Joined
Aug 22, 2012
Posts
6
Reaction score
0
Tangu j. tatu walimu jijini hapa wanakaguliwa vyeti.niwaulizeni wana jf hili zoezi na kwenu lipo?wanakagua yafuatayo:cheti cha fm 4,ualimu,leaving certificates na result slips.sababu wanataka kubaini vyeti feki.:yawn:
 
Wanalipiza kisasi cha mgomo.Ukaguzi wa vyeti ufanyike kwa watumishi wote!
 
Wangeanza na Mawaziri na wabunge pia katika mashirika ya umma ambayo huliingizia Taifa hasara kila mwaka sababu ya vihiyo waliopo huko.Sijaona ukaguzi huu wa walimu Dar.
 
Basically Hili Zoezi ni Muhimu sana kwa Tanzania Yetu!! Sasa Angalia ile Barua ya Mtendaji Kata!! Hajanunua Cheti Yule!!
 
Back
Top Bottom