Walimu Kagera waomba kupelekwa JKT

nafikiri kua wewe ndo mjinga wa kwanza duniani kwani hata chuo kikuu wanafundishwa na walimu
 
Huyu kijana mungu pekee ndo anaweza kumuadhibu...ametukana mpaka wazee wetu na mababu zetu. Tumuachie mola mlezi ampe fundisho kwa akili yake ndogo isiyoweza kufikir na kutafakari kujua mapana ya vitu. Mungu akulaani katika maisha yako yote duniani na akhera.
 
hta chizi huwa anafikiria kwanza ndo anaongea ila ww n zaid ya chizi...mwalimu n m2 muhimu sana zaid ya unavyofkiria.......
 
Kizazi cha facebuk ukichanganya na div5 ndo matokeo yake haya.
 
Hata YESU alikua mwalimu,so tusiwabeze walimu kwa kigezo cha uduni wa maslahi yao.
 

dont generelize,walimu ni watu wenye taaluma zao kama ww acha dharau
 
ualimu ni kazi nzuri kama kazi zingine na ni taaluma inayoongoza kwa kutoa viongozi wengi nchi hii tukianza na BABA WA TAIFA LETU hon mwalimu Julius Kambarage Nyerere
 
Umevurugwa ww unaebeza kaz ya ualimu.kama sio mwalimu ungekuwa mbulula tu hata usingeweza kupost huu ujinga.mheshimu mwalimu
 
Huna adabu kabisa,kila kitu walimu hao wanaotaka laki3kwa siku hamuwaoni
 
yaan katka watu ambao nimewah kusikia wanaongea utumbo ni wewe..

nahc umetoloka mhimbili ww

kaka post yangu nimeandika katika swali,na wala sijamtukana mwl mi mwenyewe mwl japo nafanya shughuli zangu,kitu nilicho uliza hapa nkama tuna uelewa,hasa baada ya walimu wenzetu kudai kwamba heti walimu ambao hawakupitia jkt hawana maadili na hawajui kazi hivyo walimu wapelekwe jkt,hivi inaingia akilini kweli badala yakudai mishahara watu wanadai wapelekwe jkt,hivi watu kama hawa nikisema hawana akili nimekosea? hembu tuache jaziba,tujadili je inaingia akilini? mbn sijasikia fani nyingine wakiomba kupelekwa jkt?.
 
Karema, imekuwa ni tabia ya watu wengi wanaotumia jukwaa hili kudandia hoja bila kusoma na kutafakari mleta mada anamaana gani. Binafsi sioni tatizo katika uzi wako, tena umeutoa kama swali. Hao walio omba wapelekwe Jkt wanamatatizo maana Jkt not every thing. Kuna viongozi wengi nji hii wamepita Jkt na wengine hata Jwtz lakini hawana uzarendo na ni wezi na wahujumu uchumi wakubwa! Pia jkt na utendaji kazi uliotukuka ni vitu viwili tofauti kabisa, Jkt kama mwalimu alikuwa mbovu katika somo lake itamfanya awe competent?
 
1. Kwan mtu kutaka kwenda JKT kujifunza uzalendo ni ujinga???

2. Kwa hiyo from your point of view waisrael walotuletea idea ya national service nao ni wajinga?

1.umeniangusha sana mwl,kwa akili yako na uelewa wako uzalendo unafundisha JKT?hakika lazma uzalishe dv 5 km uelewa wako umekomea hapo.

2.chochote wanachokisema waisrael kwako kiko sahh?kweli fani ya ualim imevamiwa.
 

waalim wa kagera si ndio wale waliwahi kuchapwa viboko na mkuu wa wilaya wakawa wanachekelea?wana matatizo wale,wengi wao wanatumia vyeti vya ndugu zao,hawana matumaini,wamekata tamaa,wanataman JKT wakale bure,usiwalaum.
 
1.umeniangusha sana mwl,kwa akili yako na uelewa wako uzalendo unafundisha JKT?hakika lazma uzalishe dv 5 km uelewa wako umekomea hapo.

2.chochote wanachokisema waisrael kwako kiko sahh?kweli fani ya ualim imevamiwa.

Nahisi hujanielewa, mleta mada anasema kwenda jkt ni ujinga, nijuavyo mimi moja ya malengo ya jkt ni kwafunza vijana uzalendo jee huu ni ujinga? Swali langu ndo liko hapo.

Pia katika post yangu sina maana kwamba uzalendo unafundishwa jkt tu hapana, uzalendo hufundishwa mahala popote pale kama shuleni, nyumban n.k

Nilichokifanya ni kumuuliza mleta mada ni ujinga kumfunza mwalimu uzalendo kama moja ya malengo ya jkt??
 
Nimekuelewa nlizani unasema sisu walimu ni wajinga
 
Nimekuelewa nlizani unasema sisi walimu ni wajinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…