francis kagimbo
Member
- Aug 9, 2013
- 6
- 0
nafikiri kua wewe ndo mjinga wa kwanza duniani kwani hata chuo kikuu wanafundishwa na walimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini mnalionaje hilo la walimu kuomba serikali iwapeleke jkt?
Kuna uhusiano wowote wa moja kwa moja wa kwenda jkt na ufanisi kazini?
Nimeanza kuamini msemo wa rafiki yangu kuwa mtu anayesomea Ualimu ana matatizo ya akili. Leo asubuhi nafungua TV nakutana na habari eti walimu Kagera wanaomba serkali iwapeleke JKT walimu wote ambao hawakupitia huko kisa eti utendaji wao wakazi si mzuri.
Kwanza nilicheka, mijitu badala ya kudai nyongeza ya mshahara, watu wanapewa msharhara wako kama posho, we unaona serkali ikupeleke JKT, kwa mtaji huu hata serikali ikiwalipa laki mbili mtafanya kazi.
Haaaa...ww ndo umepotea njia kwel tena ukatubu kwa muumba wako kwan hao unaowaita wajinga ndio waliokuondolea huo ujinga
yaan katka watu ambao nimewah kusikia wanaongea utumbo ni wewe..
nahc umetoloka mhimbili ww
1. Kwan mtu kutaka kwenda JKT kujifunza uzalendo ni ujinga???
2. Kwa hiyo from your point of view waisrael walotuletea idea ya national service nao ni wajinga?
kaka post yangu nimeandika katika swali,na wala sijamtukana mwl mi mwenyewe mwl japo nafanya shughuli zangu,kitu nilicho uliza hapa nkama tuna uelewa,hasa baada ya walimu wenzetu kudai kwamba heti walimu ambao hawakupitia jkt hawana maadili na hawajui kazi hivyo walimu wapelekwe jkt,hivi inaingia akilini kweli badala yakudai mishahara watu wanadai wapelekwe jkt,hivi watu kama hawa nikisema hawana akili nimekosea? hembu tuache jaziba,tujadili je inaingia akilini? mbn sijasikia fani nyingine wakiomba kupelekwa jkt?.
1.umeniangusha sana mwl,kwa akili yako na uelewa wako uzalendo unafundisha JKT?hakika lazma uzalishe dv 5 km uelewa wako umekomea hapo.
2.chochote wanachokisema waisrael kwako kiko sahh?kweli fani ya ualim imevamiwa.