Walimu Kagera waomba kupelekwa JKT

Mm mwenyewe na ishi hapa karibu na jeshi, nasubiri tu siku 1 serikali iseme JKT kwa wote ktk viwanja vya jeshi kila siku saa 10:30 jioni, natia mguu fasta. Make hawa majambazi, vibaka, na wanawake wa siku izi wote wanataka uwe na mafunzo ya JKT kuwamudu. Uvivu, viburi, uhuni nk kwa wototo wadogo vimekithiri. Hadi buti ziwepo ndio watiwe adabu.
 
waalim wa kagera si ndio wale waliwahi kuchapwa viboko na mkuu wa wilaya wakawa wanachekelea?wana matatizo wale,wengi wao wanatumia vyeti vya ndugu zao,hawana matumaini,wamekata tamaa,wanataman JKT wakale bure,usiwalaum.

Kwa taarifa yako hao walimu waliochapwa wanalipwa fidia ya 200ml kila mmoja! We kaa ukibeza walim wa kagera unadhan wapo km unavyofikir!
 
Kwa taarifa yako hao walimu waliochapwa wanalipwa fidia ya 200ml kila mmoja! We kaa ukibeza walim wa kagera unadhan wapo km unavyofikir!

Ndio maana nasema fani ya ualim imebakwa na makanjanja,kama ww ni mwl akili yako haiko sawa,kitendo cha wao kuchapwa hata kama walilipwa wewe kwako unaona sawa.?

Kwa hyo wewe hata ukifanyiwa kitendo gan,mathlan kuvuliwa nguo,kushkwashkwa au hata kuliwa ni sawa kama mwisho wa siku utalipwa.

Ndio maana vijana weng wa siku hz mnapenda ushoga,mnaliwa maana mnajua mtalipwa.
 

sijawahi kutukana, lakini Moyoni nilikutukana sana. Kwanini? Ujinga ulionao. Hata mimi natamani kupelekwa jkt.
 
1.umeniangusha sana mwl,kwa akili yako na uelewa wako uzalendo unafundisha JKT?hakika lazma uzalishe dv 5 km uelewa wako umekomea hapo.

2.chochote wanachokisema waisrael kwako kiko sahh?kweli fani ya ualim imevamiwa.

jkt watu hujifunza ukakamavu na utendaji. Ni mafunzo pekee ambayo yamelifanya jeshi la tanzania kufanya kazi kwa uzalendo. Watu hujifunza zaidi ya mazoezi. Wala mtu hazalishi dv5 kisa kataka kwenda jkt au katoa mawazo yake. La hasha. Ualimu ni zaidi ya Mshahara. Mwalimu wako angekuwa na tamaa hata hii post usingeweza andika. Alikuwa na uzalendo. Pole kwa fikra finyu.
 

1.uzalendo unafundiswa wap kama jkt hujifunza ukakamavu na utendaji???

2.unaweza kulithibitisha hilo la wanajeshi kufanya kazi kwa uzalendo??

3.tofauti na mazoezi hujifunza nini tena,kieleze na uonyeshe kua ni cha kizalendo na uonyeshe mafunzo hayo tofauti na mazoezi yamelet mchango gan kwa wahitim wa jkt mmoja mmoja na kwa jamii kwa ujumla


4.ukinijib hayo ntajua kweli ww ni mwl na sio mbakaji wa fani na mdandiaji wa hoja na pia hutumii hisia
 
kaka kinachomatter maisha,nawakumbuka walimu wangu wote baadhi wakijiita wakali wa mathe wengine sijui history but up to now nothing,tatizo watu tuna argue bila logic so hiyo jkt wakikupeleka itakusaidia nini? kama viongozi wenyewe hawana uzalendo we unasema uzalendo kidogo nina doubt uelewa wako,hivi hata we kwa uelewa wako mdogo sijui umehraduate lini,unaona ni bora serikali ikupeleke jkt kuliko kukulipa vizuri,nakumbuka wakati nipo university mwaka 20008,waziri ghasia aliwahi kuwaambia walimu hamkuona fani nyingine zaidi ya ualimu? hembu acheni kulopoka fikrieni ki logic,mi nilifikiri mgeanza kwa kuwashangaa hao walimu wa kagera,kipindi mnari kachapa walimu nilisikia kwa masikio yangu hapa mbeya baadhi walimu wakiomba aje awachape nao wapate zile million saba,so mtu akisema kwa lengo la kuwaamsha watu mnachukia?
 

Nakubal si kila anaepita jkt hutoka akiwa mzalendo, lakin ukweli unabaki palepale kwamba lengo la jkt ni kuwafunza vijana uzalendo.

Umemnukuu wazir ghasia akiwambia walimu eti hawakuona fan nyingine, na umesupport hiyo statement, hivi kama hao walimu wangeona fani nyingine leo hii wewe ungekuwa hapo ulipo?

Unanishangaza sana unapodharau walimu, eti mwalimu wako wa math up to now has nothing, lakini umesahau kwamba you have something because of him/her, yaan umeshindwa hata kuona sacrifice aloifanya, he/she has nothing but you have something, mwisho wa siku unamuita mjinga,

Wahenga walisema "Mfadhili mbuzi binadamu ata............?
 
1.uzalendo unafundiswa wap kama jkt hujifunza ukakamavu na utendaji???

Uzalendo, ukakamavu, utendaji na mengine meengi hufundishwa jkt. Mkuu amekutajia machache tu hapo yaan ukakamavu na utendaji.


2.unaweza kulithibitisha hilo la wanajeshi kufanya kazi kwa uzalendo??

Mkuu ndo maana hata shuleni kuna kitu tunaita hidden curriculum, kwamba unapompeleka shule mtoto unatarijia akatoe ujinga lakini kuna mambo mengine mtoto huweza jifunza shuleni as a result of interaction mf. Wizi n.k hii ndo inaitwa hidden curriculum.

Vivyo hivyo kutokufanya kazi kizalendo kwa wanajeshi hakumaanishi kwamba jeshini hakufundishwi uzalendo, ni sawa na mtoto atoke shule akiwa mwizi ukasema shuleni wanafundisha wizi.

3.tofauti na mazoezi hujifunza nini tena,kieleze na uonyeshe kua ni cha kizalendo na uonyeshe mafunzo hayo tofauti na mazoezi yamelet mchango gan kwa wahitim wa jkt mmoja mmoja na kwa jamii kwa ujumla

Tofauti na mazoez vijana hujifunza ujasiriamali, heshima na mengine mengi, mf. Ujasirimali una impact kubwa katika jamii kama kupunguza tatizo la ajira na umasikini kwa ujumla kwani kijana mwenye elimu ya ujasiriamali ni rahisi kijiajiri.


4.ukinijib hayo ntajua kweli ww ni mwl na sio mbakaji wa fani na mdandiaji wa hoja na pia hutumii hisia

Nikuulize kitu,

Hivi wewe unajua nini hasa kuhusu taaluma ya ualimu?
 
Waende tu,labda wataepuka kupigwa viboko
 

ndo maana nikasema mi sielewi watu tunaokwenda kusimea ualimu kama tupo sawa kabisa kimawazo na akili,au ni wale tulokosa kabisa alternative ya maisha,yaani mtu una akili timamu unaona kupigwa mtu mzima ni sawa tu heti kisa utalipwa fidia,hapa kazi ipo make hata huku mbeya nilikuwa nasikia walimu wengi tu wakiomba heti nao bora wangechapwa ili wapate hiyo pesa,pia nimeshufia walimu wengi tu wakitandikwa na wamiliki wa shule.
 


wewe akili zako ni finyu sana. utanzania ni zaidi ya mshahara wanajiandaa kulinda nchi yao dhidi ya adui yoyote! si unakumbuka katika vita ya kagera watu wa kagera waliumia kwa kuwa katikati ya uwanja wa mapambano bila ujuzi wa kijeshi? VIVA WAALIMU WA KAGERA
 

mkuu ni sidharau ualimu bali nadharau sisi tunaosomea ualimu,hivi unajua walimu wakiamua walipwe hata million kwa undergraduate inawezekana? lakini nimeshuhudia migomo mingi inayoitishwa na tucta haifanyi kazi,walimu wanaamkia kazini kisa heti watafukuzwa kazi,kiongozi mi ni mwl,nafikiri kuichukia hii kszi ndo kumefanaya nifike hapa nilpo,nisinge ichukia wala nisingeweza kumiliki hizi kampuni nilizo nazo,hata we ngoja nikuambie ukiichukia hii fan kutokana na nature yake siku utarudi humu kunishukuru.
 

Tunatofautoana mkuu mimi siichukii hii kazi na siwezi ichukia kamwe, daima ninaamin usemi usemao

"To be of use in the world is the only way to happyness"

Kaz kama ualimu ni kazi ambayo hutakiwi kuweka maslahi mbele. Ndo maana wanasema ualimu ni wito.
 

huyu jamaa yupo kwa Maslahi binafsi. Katika kudai jambo la wengi mara nyingi chama ndo kiwe na nguvu. Ukishindwa kushawishi chama mwenyewe huwezi kuwa mgumu. Pia wanafunzi wana haki ya kufundishwa siku zote. Acha USENGENYAJI.
 

mkuu kama ualimu ni wito basi kafanye hii kazi bure,acha mambo ya ajabu kazi yenyewe uajiliwe porini na hakuna hata allowance ya mazingira,mshahara wa degree holder ndo mshahara wa nursy tena form four,hapa nitaendelea kuhoja ufahamu wetu tunaokwenda kusomea ualimu.
 
huyu jamaa yupo kwa Maslahi binafsi. Katika kudai jambo la wengi mara nyingi chama ndo kiwe na nguvu. Ukishindwa kushawishi chama mwenyewe huwezi kuwa mgumu. Pia wanafunzi wana haki ya kufundishwa siku zote. Acha USENGENYAJI.
wanafunzi wana haki ya kufundishwa ila we huna haki ya kulipwa vizuri,hapa kazi ipo.
 
kwa mtindo huu walimu hawatakuja wajikomboe kutoka unyonyaji na ubwanyenye wa maCCM--wataendelea kuwa watumwa wa magamba mpaka mwisho wa dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…