kaka kinachomatter maisha,nawakumbuka walimu wangu wote baadhi wakijiita wakali wa mathe wengine sijui history but up to now nothing,tatizo watu tuna argue bila logic so hiyo jkt wakikupeleka itakusaidia nini? kama viongozi wenyewe hawana uzalendo we unasema uzalendo kidogo nina doubt uelewa wako,hivi hata we kwa uelewa wako mdogo sijui umehraduate lini,unaona ni bora serikali ikupeleke jkt kuliko kukulipa vizuri,nakumbuka wakati nipo university mwaka 20008,waziri ghasia aliwahi kuwaambia walimu hamkuona fani nyingine zaidi ya ualimu? hembu acheni kulopoka fikrieni ki logic,mi nilifikiri mgeanza kwa kuwashangaa hao walimu wa kagera,kipindi mnari kachapa walimu nilisikia kwa masikio yangu hapa mbeya baadhi walimu wakiomba aje awachape nao wapate zile million saba,so mtu akisema kwa lengo la kuwaamsha watu mnachukia?