Walimu Kagera waomba kupelekwa JKT

Walimu Kagera waomba kupelekwa JKT

Uhusiano upo,
Kuna kitu kinaitwa Integration of Education with Work(Elimu na Kazi).
JKT wanafundisha Uzalendo,Kazi na Nidhamu..hivyo kama walimu wataenda JKT wataweza kuwa wakakamavu,wazalendo,wajasiriamali na wenye nidhamu katika kazi yao.

Lakini pia wanafunzi wao watawandaa katika misingi hiyo hiyo
mwisho wa siku tutakuwa na taifa lenye watu wanaojituma,wasiotegemea kuajiriwa,wajasiriamali n.k

Mwalimu aliyetoa mawazo hayo yupo sahihi tu,ana mawazo chanya japo utekelezaji wake ni mgumu.

Pia mtoa mada umekurupuka hakuna mwalimu anayelipwa laki tatu kwa sasa hata hao wa Shule za msingi ni zaidi ya hiyo.

Nakushauri ufanye utafiti kabla ya kuleta mada hapa..humu kuna watu wenye elimu na uwezo tofauti wa kufikiri.

Think Critically
The future Is Dark
The Only Bright Mind Will Survive

mbona povu linakutoka bure? una hakika kwamba kuna mwalimu mpya wa shule ya msingi anayelipwa zaidi ya Tsh 300000? mkuu, acha kutetea ujinga wa kimagamba.
 
Vijana wa kizazi cha facebook ni hatari. Sasa ujinga huko wapi hapo? Yani kukufundisha kusoma, kuandika, kukupa taaluma uliyonayo, maadili mema (japo umeyakataa), na ustaarabu wote tangia primary school hadi hapo ulipo; leo wamekuwa wajinga? Kwa nini usitoe mawazo namna ya kuboresha maslahi na taaluma zao.

msipotoshe maana. mtoa mada hakumaanisha UJINGA wa KIELIMU wa walimu bali alimaanisha UJINGA wa walimu kutotumia elimu yao kujikomboa KIFIKRA, KIUFAHAMU na KIUCHUMI.
 
Back
Top Bottom