Kila mgomo unaotangazwa kwa maslahi ya watumishi au kundi fulani ktk jamii siku zote serikali hii hutoa tamko kuwa si halali kisheria japo lengo la mgomo ni halali. Nashindwa kuelewa uhalali wa aina gani unaohitajika ili haki ipatikane. Walimu komaa hadi kieleweke japo kwa % fulani. tuko pamoja.
RGDS;
Prince'laus