Walimu kupiga mwanafunzi bongo

Walimu kupiga mwanafunzi bongo

mfutwa1

Member
Joined
May 6, 2020
Posts
81
Reaction score
232
Yuko kijana mvulana alizua vurugu shuleni kujaribu kumpiga mwalimu. Mwalimu akaamua kuita wenzake kijana alipigwa na walimu watatu. Niliona ni bora kwa vile alikua amekosa nidhamu. Lakini wako baadhi ya watu walikua wakimtetea kijana huyo

 
Walimu waache kuchapa fimbo. Suala la nidhamu wawaachie wazazi na walezi wao. Mwalimu kujipa kazi ya ulezi ni kujiongezea mzigo na kujihatarisha kufutwa kazi
 
Kuna mitoto inakera jaman mtalaumu bure walimu ukicheka na mwanafunzi atakudhalilisha assemble asubuhi kweupe atakuchota hata mtama alafu dunia nzima ikucheke na ikuone kituko na kumpa ushujaa mwanafunzi kwa kukunyuka so hyo ndio principle dogo haelewek kanabeba chuma kanajikuta katabe mnakavutia staff mnakakanyaga collabo hadi kanye ndio kaeshimu walimu hoya walimu wa mbeye gwala hyo👊👊
 
Back
Top Bottom