Walimu kusomeshwa bure

Walimu kusomeshwa bure

uran

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
10,392
Reaction score
15,948
Kuna tetesi kuwa serikali imetoa tamko kuwa wanafunzi wanotaka kusomea ualimu serikali itawasomesha bure ikiwa watakuwa wamefahulu kuanzia daraja la 1-3. Je kuna anayejua hili vizuri?
 
Mkuu Za kuambiwa changanya na zako!Serikali hii imeshashiba.
 
Samahani wadau wa elimu,mimi natoka nje kidogo ya topic. Naomba kuuliza ada ya mafunzo ya diploma ya ualimu kwa mwaka ni shilingi ngapi kwa vyuo vya serikali?
 
Ni div 1 na 2 pekee, ila div 3 atasomeshwa na atakuja kuirudisha. Div 4 walotegemea ndo kimbilio imekula kwao, hakuna nafasi
 
yap nimekupata mkuu umefuatilia kwa makini hilo maana ndo nilichosikia ata mimi
 
Walimu wa masomo ya sayansi wenye div 1 watasomeshwa bure kwa wale wa masomo ya sayansi wenye div 2 watapewa mikopo ya kusoma watarudisha baadae ila wa sayansi wenye div 3 watajilipia wenyewe. Div 4 matatani hawaeleweki vizuri tz ya leo
 
div 1 na 2 watapewa mikopo, na div 3 watapewa ruzuku, ila div 4 hawana sifa za kusajiriwa.
 
Back
Top Bottom