WALIMU: Kutokana na Wasilisho la PolePole, huu Ndio Msimamo wetu

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
13,696
Reaction score
17,306
Kwanza.
Huyu polepole hakusema anaongeA na kina nani!?
Press yeyote lazima uwatambue watu wanaokusikiliza au hata kama hawapo(hewa) wataje. Kama alivyofanya Gwajima.

Pili.
Kwani nani kamtuma. Walimu Wa nchi tuna ushahidi halisi. Vile maslahi yetu yamebadilika. Vyuo.. mikopo ya Elimu ya juu.. ajira.. madaraja...

Tatu..
Walimu kuwa kipaombele katika shughuli zote za kitaifa..
Mwenge...
Uchaguzi...mitihani.. Kupeperusha bendera kokote. Walimu tuko na Mama.

Walimu sasa tunajenga.. watoto wetu wanasoma EMs Yani shule za Kiingereza.

Samia Mitano tena.

OKTOBA TUNA🛶✈️🛩️🪃🎿🏴󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿
 
Kwa Michango tu hiyo michache yenu.. hakikA taifa kulikomboa ni ndogo.

Kumbe hamjui how much is a ladder for teachers to CCM. Anhan..

Maalimu ni Ngazi..
 
We matako Polepole kaongea changamoto za chama chake akiwa kama Senior ndani ya chama na utumishi serikalini.... Ukute hapa press hujafatilia zaidi ya kusoma nyuzi humu jukwaani
Huyu Mzee wa V E8iTe...
Pumbavu wewe.

Kanyoe vuzi kwanza... Maana ndo first shave
 
Uuuuwuiiiii😂😂😂
 
Kama wewe ni mwalimu basi unawakilisha kundi wajinga sana hata kuandika hujui, anyway baby wangu ni teacher ila Hana huu ujinga
 
Kama wewe ni mwalimu basi unawakilisha kundi wajinga sana hata kuandika hujui, anyway baby wangu ni teacher ila Hana huu ujinga
Mentioning a Word 'baby' then ww ni babe gal...
Haya mgeuzie tackle hilo basi ....
FACT.
Hampendi usikia ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…