Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 7,547
- 11,831
Wazee huu mchongo wa buku7 mbona mnapeana wenyewe kwa wenyewe!? Tupeane michongo tupige kazi mkuu. Nyuzi zitashushwa humu kama mvua...Kwanza.
Huyu polepole hakusema anaongeA na kina nani!?
Press yeyote lazima uwatambue watu wanaokusikiliza au hata kama hawapo(hewa) wataje. Kama alivyofanya Gwajima.
Pili.
Kwani nani kamtuma. Walimu Wa nchi tuna ushahidi halisi. Vile maslahi yetu yamebadilika. Vyuo.. mikopo ya Elimu ya juu.. ajira.. madaraja...
Tatu..
Walimu kuwa kipaombele katika shughuli zote za kitaifa..
Mwenge...
Uchaguzi...mitihani.. Kupeperusha bendera kokote. Walimu tuko na Mama.
Walimu sasa tunajenga.. watoto wetu wanasoma EMs Yani shule za Kiingereza.
Samia Mitano tena.
OKTOBA TUNA[emoji1629][emoji3575][emoji2929]🪃[emoji472][emoji1022]
Ushajipigia buku 7 zako hapo na weekemd hii watakwambia nini kwenye chibuku?