WALIMU: Kutokana na Wasilisho la PolePole, huu Ndio Msimamo wetu

Walimu walewale waliomfundisha Polepole hesabu ya matumizi ya trillion 1.5πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ehhh!!!

Yani...
Inatoa hukuu unaweka kule ikifika kule inakaa hapa then unaweka palee....

🀩🀩🀩🀩🀩🀩

Waaaalimmm WOYEEEEEEE...!!!
 
Mentioning a Word 'baby' then ww ni babe gal...
Haya mgeuzie tackle hilo basi ....
FACT.
Hampendi usikia ukweli.
Hakuna Mwalimu hapa ni Muhuni tu kama wengine kama umywa mataputapu sijui
 
Lini mlikutana walimu kujadili hayo?
 
Mmetumika sana kuiba kura mlipokuwa mna hesabu.
Yote kwa yote 'kausha damu' inawamaliza na huyo mama na 'tuition' za Ku force hamtoboi.
 
Unafundisha shule ya msingi Minazini huku mtoto wako unamsomesha EM's! Kisha unatuita wajinga waliwao!
Kati ya hawa wawili Pole Pole na Polepole ni yupi unayemuongelea mheshimiwa mwalimu wa UPE.
 
NRNE
 
JF ina chafuliwa sana na watu wasio na vichwa
 
Mnaumia nini kaamua yeye kama yeye mnafukunyua mambo ambayo yanawapotezea muda katafuteni hela acheni porojo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…