WALIMU: Kutokana na Wasilisho la PolePole, huu Ndio Msimamo wetu


Huu ndo uandishi wa Mwalimu, Poleni wanangu mnaofundishwa na hii Nguchiro
 
Kwani walimu wa nchi hii mna akili basi? Sikushangai kuja na hoja za kipuuzi kama hizo kuitetea ccm ya samia, maa.

Eti tunasomesha watoto wetu english mediums shenzy kabisa.
 
Utofauti kati ubongo wako na mavi Yako ni joto tu.
 
Kwa hiki ulichokiamdika sina uhakika kama wewe ni mwalimu
 
Kwani walimu wa nchi hii mna akili basi? Sikushangai kuja na hoja za kipuuzi kama hizo kuitetea ccm ya samia, maa.

Eti tunasomesha watoto wetu english mediums shenzy kabisa.
Nahisi huyu ni moja kati ya wahuni anaowasema pole pole, kaamua kujivika kofia ya ualimu ili ionekane serikali hii dhalimu inakubalika
 
Nahisi huyu ni moja kati ya wahuni anaowasema pole pole, kaamua kujivika kofia ya ualimu ili ionekane serikali hii dhalimu inakubalika
Basi ni mpumbavv sana kama anafanya hivyo kweli, maana tunajua huyo sio mnufaika haswa wa hii serikali bali ni mla makombo tu.
 
Wewe unawakilisha waalimu gani wewe paka uliyehongwa baiskeli na huyo Samia aliyevuruga sheria za uteuzi za CCM. Ebu nenda kalale pimbi wewe.
 
Utakuwa ni ka-Uvccm...akili zenu ndooogo
 
Ona hili PUMBAVU linavyopanua domo!
 
Kwanini hawasomi shule mnazofundisha nyie
 
Kwa andiko lako hili walimu nao ni wahuni tu.
 
Labda anazungumzia walimu wa siasa chafu pale Lumumba.. wazee wa mipango!
 
Hii nchi sjuh ipo zama zipi Yan mtu akiamka anajikuta Msemaji wa serikali, rubbish
 
Labda walimu wa CCM.
Wakurugenzi wa Halmashauri nyingi TZ hulalamika kuwa walimu ni wakorofi na unaweza kuwaita kwenye kikao kama utaratibu wa posho haiku vizuri hawaji tofauti na kada zingine
 
MWALIMU ALIE SHIKA MKIA HANA FAIDA AKILINI
 
Masikini! Inaonekana jana hamkulala mmekesha mnadraft come back 🤣, poleni kazini kwenu kuna kazi.
 
We matako Polepole kaongea changamoto za chama chake akiwa kama Senior ndani ya chama na utumishi serikalini.... Ukute hapa press hujafatilia zaidi ya kusoma nyuzi humu jukwaani
Siyo kila binadamu anauwezo wa kutasfsiri taarifa kwa usahihi walio wengi uwezo wao wa kutasfsiri taarifa ni mdogo na mara nyingi kutoweza kutasfsiri taarifa kwa usahihi huwasababishia changamoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…