WALIMU: Kutokana na Wasilisho la PolePole, huu Ndio Msimamo wetu

Wazee huu mchongo wa buku7 mbona mnapeana wenyewe kwa wenyewe!? Tupeane michongo tupige kazi mkuu. Nyuzi zitashushwa humu kama mvua...
Ushajipigia buku 7 zako hapo na weekemd hii watakwambia nini kwenye chibuku?
 
Kwani 2024 polepole alikuwa kwenye system? Walipatikana wapinzani wamgapi?
 
Kama mnajua alikuwa haongei na nyinyi walimu, kipi kinapelekea kuja kumjibu?

Acha kudhalilisha taaluma ya walimu, walimu hawako hivyo, usiwachafue.
Watu mme vurugwa sana..
Kwahiyo hamtaki tutoe maoni
 
We mshamba usituzalilishe,, lini umekua msemaji wa walimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…