Walimu kutumia Vishkwambi ni mpaka wapewe semina na elimu kutoka Wizarani?

Liyan

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2023
Posts
294
Reaction score
899
Mbona walimu wanachekesha nchi jamani? Mpaka Raisi anasema wapewe elimu namna ya kuvitumia aisee!

Kweli walimu ni taabu kiasi wadau, mwanangu anaweza akatelezesha hivyo vishkwambi na asipate shida yoyote!

ila mwalimu anataka semina ya kufundishwa kutumia? Ualimu ni shida sana.

image-2023-05-01-13:09:08-554.jpg
 
Hivi naomba kuuliza Kila mwanajeshi anajua komputer,je Kila polisi anajua komputa!?, Hivi Kila nesi anajua komputa?,hivi Kila dakitari anajua komputa!?

Kwa taarifa yenu TU sio Kila mtu ana hobi na komputa,Kuna mwalimu unakuta anajua physics,chemistry ,addition math ya hatari na anamiliki stationary kubwa na ameajiri watu ila Hana mpango na computer kabisa hata kishikwambi kampa mwanae wa darasa la sita!!!

Kwa taarifa yenu Kuna walimu wanajua komputa ni hatari,kama mnabisha ulizeni Necta watawaambia!!
Kuponda walimu Kwa vitu vya kitoto namna hii ni shamba na ulimbukeni !!!
 
Sijaelewa walimu ndio wameomba kufundishwa au samia ndio kasema wafundishwe, Kama samia ndiye aliyesema kosa la walimu lipowapi si sawa na wewe useme mimi nifundishwe kutumia JF alafu uniseme mimi mjinga nataka kufundishwa....una ubongo kweli🚮🚮
 
Wanataka kuweka materials zote za kielimu kwenye vishkwambi so lazima elimu wajue sites za gain hizo infos
 
Hivi naomba kuuliza Kila mwanajeshi anajua komputer,je Kila polisi anajua komputa!?, Hivi Kila nesi anajua komputa?,hivi Kila dakitari anajua komputa!?

Kwa taarifa yenu TU sio Kila mtu ana hobi na komputa,Kuna mwalimu unakuta anajua physics,chemistry ,addition math ya hatari na anamiliki stationary kubwa na ameajiri watu ila Hana mpango na computer kabisa hata kishikwambi kampa mwanae wa darasa la sita!!!

Kwa taarifa yenu Kuna walimu wanajua komputa ni hatari,kama mnabisha ulizeni Necta watawaambia!!
Kuponda walimu Kwa vitu vya kitoto namna hii ni shamba na ulimbukeni !!!
Hata smartphone hajui kutumia? Maana tablet(kishwambi) ni smartphone yenye screen kubwa tu
 
Sijaelewa walimu ndio wameomba kufundishwa au samia ndio kasema wafundishwe, Kama samia ndiye aliyesema kosa la walimu lipowapi si sawa na wewe useme mimi nifundishwe kutumia JF alafu uniseme mimi mjinga nataka kufundishwa....una ubongo kweli[emoji706][emoji706]
Walimu moja ya maombi yao ni kufunindishwa kutumia kishkwambi, mama Samia yeye ndio akakubali hayo maombi yao
 
Mbona walimu wanachekesha nchi jamani? Mpaka Raisi anasema wapewe elimu namna ya kuvitumia aisee!

Kweli walimu ni taabu kiasi wadau, mwanangu anaweza akatelezesha hivyo vishkwambi na asipate shida yoyote!

ila mwalimu anataka semina ya kufundishwa kutumia? Ualimu ni shida sana.

View attachment 2605993
Ila watu mnakurupuka sana aisee ni walimu wameomba wafundishwe kutumia vishikwambi au ni raisi mwenyewe ndo kasema wapewe semina? Na Je km Kuna program mpya zinatakiwa ziingizwe kwenye hivyo vishikwambi Ili wazitumie kufundishia nazo wasielekezwe? Mnawaonea sana walimu.
 
Wanataka kuweka materials zote za kielimu kwenye vishkwambi so lazima elimu wajue sites za gain hizo infos
Ukiweka material kwenye kishkwambi? Unajua wengi pengine sijui hata hivi vishkwambi hamjui ni nini.

Nashindwa kuelewa. Ukiweka material kwenye simu yako then nini kinafata? Unakua unasoma kupitia simu?
 
Ila watu mnakurupuka sana aisee ni walimu wameomba wafundishwe kutumia vishikwambi au ni raisi mwenyewe ndo kasema wapewe semina? Na Je km Kuna program mpya zinatakiwa ziingizwe kwenye hivyo vishikwambi Ili wazitumie kufundishia nazo wasielekezwe? Mnawaonea sana walimu.
Sio kweli, maombi ya walimu ilikua ni kufundishwa kutumia vishkwambi. Wakati maombi yakitolewa mbona ilikua live na hata raisi alipokubali maombi mbona ni live?

Alafu walimu mnapaswa muelewe kishwambi ni smartphone tu Kama zilivyo smartphone zote, utofauti yenyewe Ina screen kubwa tu.
 
Mbona walimu wanachekesha nchi jamani? Mpaka Raisi anasema wapewe elimu namna ya kuvitumia aisee!

Kweli walimu ni taabu kiasi wadau, mwanangu anaweza akatelezesha hivyo vishkwambi na asipate shida yoyote!

ila mwalimu anataka semina ya kufundishwa kutumia? Ualimu ni shida sana.

View attachment 2605993
Acha kugeneralize matacle ww
 
Walimu moja ya maombi yao ni kufunindishwa kutumia kishkwambi, mama Samia yeye ndio akakubali hayo maombi yao
Basi watakuwa walimu wazee hao wamiaka hio kwanza walimu wakisasa wako Wana mind business zao wanafundisha just kupata mshahara
 
Mwanajeshi/Polisi utamjua kwa sare zake.

Vivo hivyo Mwalimu utamtambua kwa kishkwambi chake. Yani hata awe na bag mgongoni kishkwambi lazima ashike mkononi.
 
Hivi naomba kuuliza Kila mwanajeshi anajua komputer,je Kila polisi anajua komputa!?, Hivi Kila nesi anajua komputa?,hivi Kila dakitari anajua komputa!?

Kwa taarifa yenu TU sio Kila mtu ana hobi na komputa,Kuna mwalimu unakuta anajua physics,chemistry ,addition math ya hatari na anamiliki stationary kubwa na ameajiri watu ila Hana mpango na computer kabisa hata kishikwambi kampa mwanae wa darasa la sita!!!

Kwa taarifa yenu Kuna walimu wanajua komputa ni hatari,kama mnabisha ulizeni Necta watawaambia!!
Kuponda walimu Kwa vitu vya kitoto namna hii ni shamba na ulimbukeni !!!
Wapuuzi hawa Tena wapuuzi
Kidogo Cha mwl wanakikuza
 
Sijaelewa mbona naona walimu wengi mtaani wanavitumia isije kua kuna kikundi cha wahuni wanataka wapewe semina ili wapige hela na huyo Mama tatizo hana machale nchi italiwa hii sana.
Anatumia mpk mwanangu Mimi kuandika na kusoma washindwe walimu kaah[emoji18][emoji18][emoji18]
 
Back
Top Bottom