Acha kutuharibia wewe tulisha wekeza sana huko dili linakaribia kutick sasa..Sijaelewa mbona naona walimu wengi mtaani wanavitumia isije kua kuna kikundi cha wahuni wanataka wapewe semina ili wapige hela na huyo Mama tatizo hana machale nchi italiwa hii sana.
Hata smartphone hajui kutumia? Maana tablet(kishwambi) ni smartphone yenye screen kubwa tuHivi naomba kuuliza Kila mwanajeshi anajua komputer,je Kila polisi anajua komputa!?, Hivi Kila nesi anajua komputa?,hivi Kila dakitari anajua komputa!?
Kwa taarifa yenu TU sio Kila mtu ana hobi na komputa,Kuna mwalimu unakuta anajua physics,chemistry ,addition math ya hatari na anamiliki stationary kubwa na ameajiri watu ila Hana mpango na computer kabisa hata kishikwambi kampa mwanae wa darasa la sita!!!
Kwa taarifa yenu Kuna walimu wanajua komputa ni hatari,kama mnabisha ulizeni Necta watawaambia!!
Kuponda walimu Kwa vitu vya kitoto namna hii ni shamba na ulimbukeni !!!
Walimu moja ya maombi yao ni kufunindishwa kutumia kishkwambi, mama Samia yeye ndio akakubali hayo maombi yaoSijaelewa walimu ndio wameomba kufundishwa au samia ndio kasema wafundishwe, Kama samia ndiye aliyesema kosa la walimu lipowapi si sawa na wewe useme mimi nifundishwe kutumia JF alafu uniseme mimi mjinga nataka kufundishwa....una ubongo kweli[emoji706][emoji706]
Ila watu mnakurupuka sana aisee ni walimu wameomba wafundishwe kutumia vishikwambi au ni raisi mwenyewe ndo kasema wapewe semina? Na Je km Kuna program mpya zinatakiwa ziingizwe kwenye hivyo vishikwambi Ili wazitumie kufundishia nazo wasielekezwe? Mnawaonea sana walimu.Mbona walimu wanachekesha nchi jamani? Mpaka Raisi anasema wapewe elimu namna ya kuvitumia aisee!
Kweli walimu ni taabu kiasi wadau, mwanangu anaweza akatelezesha hivyo vishkwambi na asipate shida yoyote!
ila mwalimu anataka semina ya kufundishwa kutumia? Ualimu ni shida sana.
View attachment 2605993
Ukiweka material kwenye kishkwambi? Unajua wengi pengine sijui hata hivi vishkwambi hamjui ni nini.Wanataka kuweka materials zote za kielimu kwenye vishkwambi so lazima elimu wajue sites za gain hizo infos
Sio kweli, maombi ya walimu ilikua ni kufundishwa kutumia vishkwambi. Wakati maombi yakitolewa mbona ilikua live na hata raisi alipokubali maombi mbona ni live?Ila watu mnakurupuka sana aisee ni walimu wameomba wafundishwe kutumia vishikwambi au ni raisi mwenyewe ndo kasema wapewe semina? Na Je km Kuna program mpya zinatakiwa ziingizwe kwenye hivyo vishikwambi Ili wazitumie kufundishia nazo wasielekezwe? Mnawaonea sana walimu.
Acha kugeneralize matacle wwMbona walimu wanachekesha nchi jamani? Mpaka Raisi anasema wapewe elimu namna ya kuvitumia aisee!
Kweli walimu ni taabu kiasi wadau, mwanangu anaweza akatelezesha hivyo vishkwambi na asipate shida yoyote!
ila mwalimu anataka semina ya kufundishwa kutumia? Ualimu ni shida sana.
View attachment 2605993
Basi watakuwa walimu wazee hao wamiaka hio kwanza walimu wakisasa wako Wana mind business zao wanafundisha just kupata mshaharaWalimu moja ya maombi yao ni kufunindishwa kutumia kishkwambi, mama Samia yeye ndio akakubali hayo maombi yao
Wapuuzi hawa Tena wapuuziHivi naomba kuuliza Kila mwanajeshi anajua komputer,je Kila polisi anajua komputa!?, Hivi Kila nesi anajua komputa?,hivi Kila dakitari anajua komputa!?
Kwa taarifa yenu TU sio Kila mtu ana hobi na komputa,Kuna mwalimu unakuta anajua physics,chemistry ,addition math ya hatari na anamiliki stationary kubwa na ameajiri watu ila Hana mpango na computer kabisa hata kishikwambi kampa mwanae wa darasa la sita!!!
Kwa taarifa yenu Kuna walimu wanajua komputa ni hatari,kama mnabisha ulizeni Necta watawaambia!!
Kuponda walimu Kwa vitu vya kitoto namna hii ni shamba na ulimbukeni !!!
Anatumia mpk mwanangu Mimi kuandika na kusoma washindwe walimu kaah[emoji18][emoji18][emoji18]Sijaelewa mbona naona walimu wengi mtaani wanavitumia isije kua kuna kikundi cha wahuni wanataka wapewe semina ili wapige hela na huyo Mama tatizo hana machale nchi italiwa hii sana.