WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Nipo kasulu mjin nataka kwenda,wa korogwe handen babati na arusa vijij,
 
Mimi ni mwalimu wa sekondari nimepangwa kufundisha (SINGIDA-MKALAMA), nataka kwenda (DAR au PWANI) hivyo kwa yeyote anayetaka tubadilishane kituo ili aende Singida anitafute kwenye 0716 860860.
 
Mimi mwalimu mpya kwa yeyote anaetaka kwenda tarime mjini mimi niende Geita mjini au vijijini au Sengerema tuwasiliane 0768074472
 
Kwa Mwl yeyote shale ya msingi anayetaka kuja Geita mjini mi niende wilaya za Dodoma tuwasiliane. 0712122480
 
Njoo rungwe mbeya mimi nije dodoma idara shule ya msingi.mawadiliano namba ni 0789389152 au 0687541178
 
tena jaman wadau amaetaka musoma[v] japo shule niliyopo kuna usafir,maji,hosp na nyumba za waalm
sababu ya kutaka kubadilishana huku co kwtu
anataka kutoka mwanz,ddma,dar,tanga,moro au pwan
nichek 0756970201/0716293590
 
shule inaitwa nyegina idara ya msingi# na umeme upo network ya kutosha
 
Embu niwekee hapo jf namimi nimeona tangazo lako kicm changu kinazingua andika anaependa kwenda biharamulo kutoka misugwi au magu tuwasiliane 0763157106
 
Njoo mwanza sengerema idara ya msingi nije pwan, moro wilaya yoyote 0682984103
 
njoo ruvuma nije wilaya yoyote IRINGA,NJOMBE,DODOMA,MOROGORO,PWANI,TANGA 0758507428
secondary
 
Habari,, nina ndugu yangu ambaye ni mwalim wa msingi wilaya ya kyela jijin mbeya,, ila anahitaji mtu wa kubadilishana naye Kituo kutoka lindi mjini au morogoro mjini kwa mawasiliano zaidi piga 0718077425. ASANTENI.
 
wadau kwa mwl.wa sec,anayehitaji kuhamia serengeti,mm niende dar,moro au mwanza.nicheki kwa no.0714080615
 

Mm nipo tanga handeni nataka kurudi dsm au pwani ambaye yupo tyr ani pm idara ya msingi plz km upo tyr tell me!!
 
Niko KYERWA-KAGERA idara ya SEKONDARI, nataka kubadilshana na mwalimu kutoka mikoa ya Njombe, Iringa, Mbeya au Moro. Mawasiliano: 0766742573 au 0683364141
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…