Ramadhan vitalis
Senior Member
- Feb 10, 2014
- 134
- 4
Jamani hamtaki kuja Kasulu-Kigoma?
Njoo Simiyu nije Njombe, Mbeya, Rukwa au SongeaGEIATA mji me siwezi kwenda huko ila nahitaji kuwa SIMIYU
Jamani hamtaki kuja Kasulu-Kigoma?
kasulu mjini au kjjn mkuu idara gani?
Niko babati,idara sec,natafuta wa kubadili nae m niende nyamagana,ilemela(mwanza),geita mji,au kahama mji.
Jamani hamtaki kuja Kasulu-Kigoma?
mimi mwalimu masaki wa arusha wilaya ya babati mjini naomba nibadilishane na wewe kutoka pwani kibaha au mkuranga. kwa mawasiliano 0768 864240
Naitwa Benedict MSIGWA ni mwalimu mpya nnayetarajia kwenda kuripoti Kazini mwezi WA NNE.Naomba kwa aliye tayari tuanze mchakato WA kubadilishana mie nije Tunduru.Nipo idara ya secondari.Napatikana kwa 0754978818 au 0712913007 au [email protected]