WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU:
Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums
Jaman Mwl wa kubadilishana,,idara ya sekondari,,aje kilwa-lindi..Atokee Kibaha,Bagamoyo,kinondoni,temeke,ilala na mkuranga
 
Jaman anahitajika Mwl idara ya sekondari aje Kilwa-Lindi..Atokee kibaha,bagamoyo,mkuranga na Dar...
 
Nipo Halmashauri Ya Kinondoni (Dar) Natafuta Mwl Aliye Halmashauri Ya Mbeya Jiji Tubadidilishane Naye Vituo Vya Kazi.

kuna Uzi humu ndani unahusu walimu wanaotaka kubadilishana vituo.....!so nahisi tatizo lako linaweza likatatuliwa pale
 
kwa yeyote anayetaka kufanya kazi Maswa idara ya secondary toka Mwanza, Musoma tuwasiliane 0768885000
 
Mwalimu yupo mwanza wiliya ya magu e.msingi anatafuta sa kubadilishana nae kituo mkoa wa tanga.kwa mawasiliano:0757871751
 
WANAJUKWAA... NIPO KIGOMA-KIBONDO, NATAKA KURUDI KASKAZINI MKOA WOWOTE+SINGIDA. IDARA YA MSINGI.0765896940. v.tarimo.
 
jaman anaetaka musoma pm
kutoka dar,moro,ddma,tanga,pwan
nitafute 0716293590
 
Hi! nipo Halimashauri ya Kigoma Kijijini natafuta mwalimu ambaye anapenda kufanyia kazi huku nami nije Dar, Pwani au Morogoro
A%20S%20465.gif
 
Waliopangwa sehemu tajwa hapo juu,na wanatamani sana kwenda au kubakia kwao shinyanga-KAHAMA,wapge namba 0765533013.tufanye michakato!
 
njoo s/wanga nije mbozi,njombe,mbalali,mbeya vijijini,wanging'ombe,makambako au mufindi idara sekondari.
 
Natafuta wa kubadilishana nae kituo cha kazi idara ya Secondari, Atoke pwani Mkuranga au Dar aje Morogoro Kilosa
 
Back
Top Bottom