WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

me natafuta mtu wa kubadilishana kutoka mbeya au njombe me nipo wilaya ya butiama ndo nimepangiwa ajira uku mtu ambaye yuko tayari tuwasiliane kwa 0768406872
 
Mwlm npo TABORA-UYUI, (idara ya msingi) natafuta mtu wa kubadilishana kutoka mikoa ya MBEYA,NJOMBE,IRINGA,MOROGORO wilaya yeyote namba ya cm ni 0753742927 au 0789923082
 
mwl npo KIGOMA VIJIJINI (idara ya msingi) naomba kubadilishana kuja MIKOA YA MBEYA wilaya yeyote ile icpokuwa Ileje, mawasiliano: 0762291842/0654508720
 
nami ningependa kujua maana nina dogo
yuko mkoa nataka aje mjini ivo nami mnijuze waungwana
 
Mwl Anna idara ya sekondary yupo h/shauri ya wilaya ya Rorya anatafuta mwl wa kubadilisha nae kutoka Mkuranga, kibaha, temeke, kinondoni au Ilala mawasiliano 0683900853

Nipo mkuranga nahitaji wa mwnza nyamagana. mawasiliano
0768 560009
 
Nipo Halmashauri Ya Kinondoni (Dar) Natafuta Mwl Aliye Halmashauri Ya Mbeya Jiji Tubadidilishane Naye Vituo Vya Kazi.
 
Mim Ni Mwl Idara Ya Sekondari Halmashauri Ya Kinondoni Natafuta Mwl Wa Kubadilishana Nae Aliye Halmashauri Ya Mbeya Jiji.
 
Nipo halmashauri ya shinyanga(v) nahitaji mwalimu idara sekondari kutoka mbeya ama iringa tubadilishane naomba tuwasiliane kwa walio tayari
 
Mwl,yupo halimashauri ya mji wa GEITA idara SEC anatafuta mwenzake mwl wa kubadilishana nae kutoka eidha MOROGORO,IRINGA AU MBEA Na:
0756231236 au
0755550408
 
Kubadilishana kituo cha kazi mi nimepangwa geita-geita nahitaji mtu aliyapangwa SIMIYU BARIADI MJI tuwasiliane
 
kubadilishana kituo cha kazi mi nimepangiwa GEITA-GEITA nahitaji mwl. aliyapangiwa SIMIYU- BARIADI MJI
 
kubadilishana kituo cha kazi mi nimepangiwa GEITA-GEITA nahitaji mtu aliyepangiwa SIMIYU BARIADI MJI aliye tayari tuwasiliane ni mwl. ngazi ya shahada
 
Anaetaka kwenda Tarime mji mimi niende Geita mji. Au kijijini. Hata sengerema poa tu.0768074472
 
Nipo kasulu idara ya sekondar wa handen,korogwe geita mjin, sengerema mjin,babati na singida mjin tubadilishane 0713335756
 
Nko idara ya msingi nmpangwa singida mkalama nataka kurudi manyara nyumbani sehemu yeyote. Id 0783100301, 0759955378
 
niko tunduru idara ya sekondari. kwa anayeishi NYASA, MBINGA, SONGEA, NJOMBE, LUDEWA AU MBEYA na tubadilishane vituo vya kazi wajemeni nimekuchoka huku. 0766538148/0682136570.
 
Back
Top Bottom