WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Oi nimepangiwa wilaya ya rungwe nafasi ya weo nipo tayar kwenda mkoa wowote isipo kuwa iringa, njombe, na ruvuma,, aliye tayari kuja rungwe ani pm ..


Mkuu mdogo wngu kapangiwa kigoma wilaya kakonko, mnaweza kubadiriahana akaja rungwe
 
Mimi nimepangwa namtumbo songea,idara ya sekondari nataka mtu wa kubadilisha naye kutoka moja kati ya mikoa hi Manyara, Morogoro, Pwan, Dsm, Iringa, Tanga na Mwanza. Kama ukotayar nicheki,0713320319 au 075703 6642

Vp Serengeti?
 
Kuna mtu kapangiwa Arusha jiji idara ya sec anatafuta mtu wakubadilishana naye toka Morogoro mjini,Iringa mjini,Mbeya jiji,Njombe mji,mbeya v,mbozi,rungwe.PM via no 0765879382
 
Anayetaka kwenda arusha jiji toka morogoro mjini,iringa mjini,njombe mji,mbeya jiji,mbeya v,rungwe,mbozi,mombo na kyela.pm no 0765879382
 
Njoo magu mwanza mi nije geita mjin.....Nimepangiwa halimashauri ya magu mwanza naomba kubadilishana na aliyeko GEITA MJIN....(SHAHADA)..0684048001.
 
Kwa yeyote anayependa kwenda kufanya kazi Halimashauri ya Maswa toka Dar es salaam, kibaha, Morogoro, iringa, Mbeya mjini, Mbeya vijini Tukuyu,Njombe, Makambako no 0768885000
 
Mwalimu wa s/m kutoka mikoa ya morogoro,pwani,dodoma na dar kama unapenda kuja wilaya ya rungwe mbeya tuwasiliane kwa namba 0789389152/0752138870.
 
Niko singida mkalama kwa mwalimu aliyepangiwa manyara na anataka kuja huku anipm 0783100301, o759855378.
 
Mwl MAISA yupo mpwapwa dodoma idara SEC anatafuta mwl wa kubadilishana nae kutoka RUVUMA-SONGEA.
Na 0756231236 au
0784616544
 
Mwl JUDITH yupo TANGA-KILINDI idara MSINGI anatafuta mwl mwenzake wa kubadilishana nae kutoka eidha KOROGWE-TANGA,moshi mjini na HAI kilimanjaro.
Na0684761513/0756231236 karibu
 
Nimepangwa Tunduru Ruvuma, natafuta wa kubadilishana naye ili mimi nibaki Mbeya kama yupo tuwasiliane
 
Mwl. Msingi ajira mpya 2014 aje mwanza,sengelema awe mikoa ya Mtwara,songea,Tanga,pwani,moro,morogoro,mbeya,ruvuma hata iringa kwa kifupi mikoa ya mashariki. Simu 0682984103/0756538631
 
Mwl nipo KALIUA-TABORA idara ya Secondari ADVANCE (masomo ya science) phy & chemstr, nipo KALIUA HIGH SCHOOL anahtaji kuja SINGIDA or DODOMA wilaya yeyote. Mawasiliano: 0782127733
 
Mwl npo TABORA-NZEGA (Idara ya msingi) nahtaji kubadilishana/Kuja MBEYA,IRINGA,MOROGORO, Mawasiliano: 0765216845
 
Back
Top Bottom