WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Kwa anayetaka kuja Liwale - Lindi, mimi nije Meru ama wilaya yeyote Arusha tuwasiliane. Ni PM ama quote hii post yangu.
 
Yeyote anayetaka kufanya kazi Sumbawanga Vijijini ngazi ya sekondari kutoka wilaya yoyote ya Mbeya, Iringa, n.k tuwasiliane 0712 497694.
 
Naitwa Ben Christian.Nimepangwa halimashauri ya Tunduru idara ya elimu ya sekondari.Kwa yeyote aliy tayari na amepangwa Mufindi;Wanging'ombe au NJOMBE tuwasiliane kupitia 0712913007 au ani pm
 
Kwa yeyote aliyepangwa halmashauri za Mufindi;wanging'ombe;Songea;NJOMBE au Iringa ktk idara ya secondary nomba tubadilishane mile nimepangwa Tunduru.Plz nicheki kupitia 0712913007 au nitumie Pm
 
Walimu wenzangu msikate tamaa kutupia matangazo yenu JF kuliko kutoa rushwa utaliwa bila mafanikio kama umepata mtu wa kubadilishana nae haujui utaratibu wa kubadilishana au hujui namna kuweka tangazo jf tumia number 0756231236/0719184787 usaidiwe.
 
Ajira mpya idara ya sek.nataka mtu wa kubadilishana aje Mtwara niende Morogoro


Mawasiliano 0766444050
 
Je wewe ni mwalimu wa shule ya msingi kutokea dodoma mjini unahitaji kuhamia mkoani mbeya wilaya ya rungwe?tuwasiliane kwa namba 0752138870.wahi mapema
 
Kama wewe upo dodoma mjini na unahitaji kwenda mkoa wa mbeya wilaya ya rungwe idara ya shule ya msingi tuwasiliane kwa namba 0752138870
 
wote mnataka kuhama watoto wetu watafundishwa na nani huko vijijini
 

Attachments

  • 1395226940611.jpg
    1395226940611.jpg
    83.8 KB · Views: 114
Kwa anayetaka kwenda sengerema kutoka mwanza anipm
Idara ya msingi.
 
wote mnataka kuhama watoto wetu watafundishwa na nani huko vijijini

Hawakatai kwenda, ila kutokana na sababu mbalimbali, wanaomba kubadilishana vituo vya kazi.

Mie wife wangu yupo geita huu mwaka wa nne, natamani aungane nami tujenge familia. Wakati anashufhulika na uhamisho kufuata mme, najaribu na plan b ya kumtafta mtu wa kubadilishana kituo cha kazi.

Kwa anayetafta kuhamia geita, yuko magu au hata nyamagana na ilemela, awasiliane nami kwa 0766087636
 
haahaahaa ndo unaomba hapo...!

Siunajua majukumu ya uzazi,,ndo tunawombea tunaowalea,,maana wengine mitandao kwao wanaiskia radion


Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom