WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Hello! Kuna mdogo wangu anatafuta mwl wa kubadirishana vituo vya kazi shule ya msingi, yeye amepangiwa mkoa wa kigoma wilaya ya kakonko, anataka arudi mkoa wa mbeya, kati ya wilaya ya kyela, mbeya vijijin mbeya jiji na rungwe
Aliepangiwa kati ya wilaya hizo hapo juu na anataka kurudi kigoma ajitokeze tufanye mchakato fast
Contact: 0752735855

NB. Upande wa pesa nitachangia ili kuharakisha mambo. Thanx
 
Nina dada yangu mwalimu wa sekondari yuko Tarime anahitaji kubadilishana na mwalimu kutoka mkoa wa kilimanjaro. yeyote aliye tayari tuwasiliane
 
Mwlm wa sek aliyepangwa kinjaro,tng,dom,manyara & geita kama unataka tunduru tubadilishane.0756729922
 
mimi nipo wilaya Mbinga mkoa wa Ruvuma natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka mkoa wa Singida idaya ya sekondari.mawasiliano zaidi 0765070911
 
Hello! Kuna mdogo wangu anatafuta mwl wa kubadirishana vituo vya kazi shule ya msingi, yeye amepangiwa mkoa wa kigoma wilaya ya kakonko, anataka arudi mkoa wa mbeya, kati ya wilaya ya kyela, mbeya vijijin mbeya jiji na rungwe
Aliepangiwa kati ya wilaya hizo hapo juu na anataka kurudi kigoma ajitokeze tufanye mchakato fast
Contact: 0752735855

NB. Upande wa pesa nitachangia ili kuharakisha mambo. Thanx

njoo mwanza nyamagana
 
kwa mwalimu wa sekondari unayetaka kuja muleba kagera hebu fanya hima tuwasiliane 0714480242. mwambie na mwenzio
 
Mwl Anna idara ya sekondary yupo h/shauri ya wilaya ya Rorya anatafuta mwl wa kubadilisha nae kutoka Mkuranga, kibaha, temeke, kinondoni au Ilala mawasiliano 0683900853
 
Mnaojua vizur Singida vijijin naombe msaada kujua miundombinu na pia wenyej wa kule wanajishughulisha na nin ???? Please Nahitaji kujua mazingira tu kwa kujipanga zaid wadau ahsante.
 
kwa yeyote anayetaka kwenda Kalambo-Rukwa na amepangiwa Magu,Kilolo, bagamoyo, söngea mjini,kigoma mjini tuwasiliane
 
Mnaojua vizur Singida vijijin naombe msaada kujua miundombinu na pia wenyej wa kule wanajishughulisha na nin ???? Please Nahitaji kujua mazingira tu kwa kujipanga zaid wadau ahsante.

mazingira ya singida karibu mkoa wote yanafanana
yana tabia za tambarare,uwanda wa chini
singida watu kwa 90% wanategemea kilimo cha mvua
karibu sana mkuu huku ndio kwetu
mazao ya biashara ni alzeti,vitungu,ufuta n.k pia watu wanafuga ila sio km wasukuma
mazao ya chakula ni mahind na
yale yotte yanayostahimil ukame
ila maeneo ya singida kaskazin na wilaya mpya ya mkalama ndio yana tabia ya hali ya hewa ya mkoa wa arusha
so unapokuja omba upangwe arusha road au haidom,manyara road
 
Jamani alietayari kwenda kigoma nmsaidie mdogo wangu ajitokeze,
NB; hata kama ni pesa ntampa, tuwasiliane kwenye hizo namba hapo juu
 
Njoo sumbawanga nije wanging'ombe, njombe au mufindi. Idara sekondari ni pm.

Mkuu mm sihitaji kuhama, mdogo anatafuta mtu wa kubadirishana nae idara ya msingi, hataki kwenda kigoma anataka abaki mbeya wilaya yeyote
ile, tusaidiane kama kuna mtu unamjua
 
Jamani wadau kama kuna mwalimu anayependa kwenda Mpwapwa Dodoma naye amepangiwa Morogoro Kilosa au Mvomero tubadilishane
no.0784946156
 
Back
Top Bottom